Zanzibar ni sehemu salama kabisa, ila munaitangaza vbaya, cha msingi ni kufuatilia ni nani wanahusika na matukio km haya na wanatumiwa na nani, tusitupie lawama na kuifanya znz kama chaka la wahalifu, matukio kama haya au zaidi ya haya yamejitokeza dar es salam na maeneo mengine ya Tanganyika...
Kaka sio kweli kuwa huyu mtuhumiwa wa mauaji anacheka kwa kujivunia juu ya alichokifanya, kicheko hakitabiriki, kuna wakati unaweza ukacheka kutokana na mshangao ni vigezo vpi yy kahusishwa na tukio hilo huku akiwa hana nguvu ya utetezi ambayo itawafanya waliomshuku kuelewa ukweli, au pia hasira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.