Joycline kwa sababu wewe ni mkristo soma sana bible mambo yote yako huko.
Mtu akifa amekufa na hana ushirika tena na walioko duniani, swala la mtu aliyekufa kuja kuaga kwa muda wa siku tatu au zozote hilo halipo kabisa.
Shetani ni mjanja sana na hutumia vitu vingi kuhalalisha uongo wake na...
Unajua sisi waafrika tunatakiwa tufanye juhudi za ziada ili kujitoa katika umaskini uliokidhiri. Inavyoonekana hakuna kiongozi anaeingia madarakani kwa nia ya kusaidia au kujitoa kwa moyo kuona watu wanajitoka kwenye umaskini. Hii ni hali ya hatari na inayofanya wafrika wengi kuishi maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.