Recent content by asha ndala ndefu

  1. asha ndala ndefu

    JamiiForums Tanzania Huu ni Uzi maalum wa kulaani matukio mabaya yanayotokea ndani na nje ya nchi yetu.

    Na alaaniwe anayetukana wanadamu wenzake kwakuwa yeye ana madaraka
  2. asha ndala ndefu

    JamiiForums Tanzania Huu ni Uzi maalum wa kulaani matukio mabaya yanayotokea ndani na nje ya nchi yetu.

    Na alaaniwe anayesema analaani ukio la Lisu kupigwa lisasi huku moyoni mwake akijua yeye ndiye aliamrisha
  3. asha ndala ndefu

    JamiiForums Tanzania Huu ni Uzi maalum wa kulaani matukio mabaya yanayotokea ndani na nje ya nchi yetu.

    Na alaaniwe atumiae madaraka yake kuua wanadamu wenzie
  4. asha ndala ndefu

    JamiiForums Tanzania Huu ni Uzi maalum wa kulaani matukio mabaya yanayotokea ndani na nje ya nchi yetu.

    Naalaniwe anayeshangilia tukio la kupigwa risasi Lisu
  5. asha ndala ndefu

    JamiiForums Tanzania Huu ni Uzi maalum wa kulaani matukio mabaya yanayotokea ndani na nje ya nchi yetu.

    Naalaniwe aliyekubali kushika bunduki kumlenga Lisu
  6. asha ndala ndefu

    JamiiForums Tanzania Huu ni Uzi maalum wa kulaani matukio mabaya yanayotokea ndani na nje ya nchi yetu.

    Naalaniwe dereva aliyeendesha gari kuelekea kupiga risasi Lisu
  7. asha ndala ndefu

    JamiiForums Tanzania Huu ni Uzi maalum wa kulaani matukio mabaya yanayotokea ndani na nje ya nchi yetu.

    Naalaniwe aliyetoa silaha ya kumshambulia Lisu
  8. asha ndala ndefu

    JamiiForums Tanzania Huu ni Uzi maalum wa kulaani matukio mabaya yanayotokea ndani na nje ya nchi yetu.

    Naaalaniwe apangaye mauji ya mwanadamu mwenzie
  9. asha ndala ndefu

    JamiiForums Tanzania Huu ni Uzi maalum wa kulaani matukio mabaya yanayotokea ndani na nje ya nchi yetu.

    Nalaaani vikali tabia ya baadhi ya watu kuua watu wasio na hatia
  10. asha ndala ndefu

    JamiiForums Tanzania Yanga yanasa vifaaa vitatu toka Ghana

    Mo akitaka uwekezaji wake ufane agombee uwenyekiti vinginevyo ni kujaza Maji kwenye ndoo iliyotoboka
  11. asha ndala ndefu

    JamiiForums Tanzania Yanga yanasa vifaaa vitatu toka Ghana

    Hao jamaa ni mambumbumbu kweli kama ilivyosemwa, na safari hii wakiukosa ubingwa watukanwa mpaka na kuku zao
  12. asha ndala ndefu

    JamiiForums Tanzania Yanga yanasa vifaaa vitatu toka Ghana

    Tatizo ni ile laana ya Ismail Aden Rage
  13. asha ndala ndefu

    JamiiForums Tanzania Yanga yanasa vifaaa vitatu toka Ghana

    Nina amini hana uwezo wa kuwahudumia muda utatuambia
  14. asha ndala ndefu

    JamiiForums Tanzania Yanga yanasa vifaaa vitatu toka Ghana

    Sina mashaka na mabingwa Yanga kabisa maana pamoja na kuwa na pesa shule pia ipo siyo kama jirani yetu yule mbumbumbu anayesajili kwa kukomoa badala ya uhitaji
  15. asha ndala ndefu

    JamiiForums Tanzania Epuka kuweka maagano ya damu kwenye mahusiano

    Asante nadhani wakati wa kujifunza umewadia
Back
Top Bottom