ha! Huyo mzee haeleweki kabisa! Yeye anachoweza ni sherehe, kuzindua v2 vya ovyoovyo,mara mabomba, dini, na kutunuku vyeti wahitimu. Makamu wa rahisi ni kula bata tu!..
viongozi makini na jasili kama prof. jk huchekacheka tu kwa kila kitu, analia ni kwa sababu hana mamlaka ya kiutendaj ktk dola, tofauti na pinda anaelia huku akiwa nayo hayo mamlaka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.