Recent content by Asante mme wangu

  1. A

    Toka ingie korona sishibi, resho imepunguzwa

    Mzee toa neno ww then soma vizuri ndo utajua nan kaachika Sent using Jamii Forums mobile app
  2. A

    Toka ingie korona sishibi, resho imepunguzwa

    mzee unanyonyaga ya nn Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    Toka ingie korona sishibi, resho imepunguzwa

    To go where brother, I am happy when I will be to my uncle , but the problem is the ratio of food is decrease . Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    Toka ingie korona sishibi, resho imepunguzwa

    Mzee tuheshimiane tafadhali , hujalazimishwa kunishauri , usiniite shoga tafadhali nipo chin ya miguu yako nakuomba ufute comment yako . Sent using Jamii Forums mobile app
  5. A

    Toka ingie korona sishibi, resho imepunguzwa

    Mimi ninamiaka 35 nakaa kwa mjomba wangu , sifanyi kazi na sihitaji kazi , mwanzo kabla la hili gonjwa hatari msosi ulikuwa unapikwa mwingi na nilikuwa nashiba. Lakini gafla bini vuu hali imebadilika msosi umepunzwa kutoka kilo hadi nusu , hali hii inanipelekea mm kutoshiba na nashindwa...
  6. A

    Mimi ni mhitimu wa chuo natafuta sehemu ya kujitolea ili nipate uzoefu

    Mimi ni mhitimu wa chuo natafuta sehemu ya kujitolea ili nipate uzoefu wa kazi katika makampuni ya ujenzi ,research organization, na nyinginezo, ni mtaalamu wa GIS, SPSS, AUTOCAD , ODK, Microsoft office na nyinginezo. Lengo kubwa ni kupata uzoefu wa kazi tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    Nilikuwa nina muelekeo fulani upinzani lakini kwa haya nimewadharau kabisa

    Haha Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    Kadiri unavyoukimbia mwangwi ndivyo unavyoukaribia

    Hatari Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom