Recent content by Asano

  1. A

    Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Kweli kabisaa binadamu wapo na mie nitabaki kuwa shahidi wa hili!Nina ndugu, ambao nimejaribu kuomba sapoti bila mafanikio,lkn kuna watu hata hatujuani wamenisapoti chochote,huo ndio ubinadamu/utu!naamini siku moja nami nitasimama vzuri na mie nije nisaidie wenye uhitaji!!
  2. A

    Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Asante kwa ushirikiano wenu wana JF hasa kipindi hiki kigumu cha January , kiukweli kuna utofauti mkubwa kati ya juzi,jana na leo!kuhusu kazi naomba tuliweke pending kdogo hadi jmosi nitakuja kutoa mrejesho kamili!na kuhusu mtaji kilichopatikana kdogo kesho naanza kulangua tena maziwa,jana na...
  3. A

    Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Habarini ndugu,nashukuru sana kwa sapoti zenu,kiukweli siwez kumtaja mmoja mmoja,wengine mnanisaidia hata sijui ni nina,ila kiujumla nasema asantee,samahani sikuwa hewani huku kwetu tangu asubuhi hatukuwa na umeme,ndio umerudi sasa!
  4. A

    Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Bado sijawa saved ndugu yangu, issue kuu kwangu ni kupata kazi/kibarua,bado!
  5. A

    Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Aah ndugu yangu bado napumulia machine,hapa nimekaliwa kooni issue ya kodi yani acha tu ndugu!
  6. A

    Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Sijasema nimeongea na wewe,nimesema tushaliongea limeisha!kuhusu kazi kasema ataongea nawe then atanijulisha,ila details za kazi husika yes tushaziongea!
  7. A

    Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Asante ndugu,pole nawe kwa yote ulopitia!hapa vijana tuna cha kujifunza,kuwa na vitu muhimu kama Leseni,kuna mwana JF ana bajaj na ni biashara nzuri sana hapa Dodoma,lkn imekuwa ngumu kwangu sababu sina leseni!kiukweli namtumainia Mungu..
  8. A

    Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Naomba Malumbano na ndugu kolola said: yaishe,tushaliongea via phone na tumemalizana,kiufupi tu ni kuwa aliniunganisha na mtu anayehitaji mtu wa IT,huyo mtu akanipigia simu mapema asubuhi,na mie niliondoka asubuh hyo nikaenda nje kidogo ya mji kufuatilia maziwa,nilikuwa kwenye baiskeli na...
  9. A

    Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Sidhani kama ana chochote cha kutiririka ,sijawahi na sina mpango wa kuwa tapeli hata siku moja!
  10. A

    Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Sawa nitakujuza,samahani kama kuna uwezekano uka ni PM namba yako,tutawasiliana zaid hasa kuhusu hyo biashara!
  11. A

    Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Bahati mbaya wote washatangulia mbele ya haki
Back
Top Bottom