habar njema kwa wajasiliamali wenzangu,kwa mahitaji yako ya vifaranga chotara,mayai na kuku piga namba 0789 123461 utahudumiwa haraka,bidhaa zetu ni bora sn.
Nina jamaa yangu amesoma degree ya kwanza BSC with education, lakini sasa anataka kusoma tena ,sasa amepata postgraduate diploma ya project planning and management na Masters of arts in education, anaomba ushauri akasome kozi ipi? na kwa nini?
Mimi ni mwalimu wa sekondari katika wilaya ya Ngara natafuta mtu wakubadilishana nae kituo cha kazi ili niweze kurudi Dodoma,kama kuna mwalimu yeyote anahitaji tubadilishane nae ni PM ili tupeane mawasiliano,jamani km ht ww ni mtu wa karagwe,biharamulo,kyerwa,misenyi hata bukomba unaweza...
Mi nipo Ngara mjini nafundisha sekondari ya KIBIMBA siyo mbali sana na mjini kwani walimu wote tunakaa mjini,Kama utatamani kurudi home,ni pm tupeane mawasiliano vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.