Recent content by asanchar

  1. A

    JamiiForums Tanzania Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

    Ukiwa na Tor au firefox kawaida kuna site unaitwa hidden wiki hiyo ni kama wikipedia ya dark web ambako utapata link ya site mbalimbali
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wapi zilipo ofisi za kampuni ya MOTA ENGIL iliyopewa kazi ya kujenga reli ya standard geji nchini?

    Ni mbili tofauti kuna hr@mota-engil.co.tz na rh@mota-engil.co.tz note before @ kuna hr and rh
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaohitaji mwalimu wa kufundisha home tuition kwa wanafunzi wa level zote, pamoja na english course

    Nauli na maradhi aiseee!!! So utampa maradhi gani?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Looking for electronics and telecommunications internship

    Pole aisee!!! mimi mwnyewe natafuta!!!! Kama hutojali tuwe tunachekiana walau kubadilishana mawili matatu!!!(PM)
  5. A

    JamiiForums Tanzania Laptop hp compaq inauzwa

    HP Compaq Intel Celeron RAM 4GB HDD 1TB Very good condition Price: 500k (Tshs) Contacts: 0718975078
  6. A

    JamiiForums Tanzania Sanaa ya kutengeneza computer

    Pc yangu ina shida kwenye motherboard!!! Nikiiwasha button inawaka kama sekunde 10 hivi halafu inazima!!! ni hp 650.Tatizo linaweza kuwa nini hapo?!!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nataka nijifunze Adobe Aftereffect na Photoshop CS6

    Kwa After effect wacheki hawa jamaa wana tutorials kali kinyama wanaitwa Tara Arts sasa wacheki youtube kwa Tara arts Movie
  8. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya muda au ya kudumu; Nina degree ya Telecom & Computer Networking

    Bado!!? Usikate tamaa lakini utapata tu!!!
Back
Top Bottom