Recent content by Asamwa

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Samia ni balaa. Aondoka uwanjani kimyakimya kwa mwendo wa kikomandoo bila kuzungumza neno lolote

    Halafu ulinzi mkali si una-contradict ule ushindi wa asilimia 98?!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Iraq wa dola millioni 191 kwa Tanzania wazua mjadala mkubwa nchini Iraq

    Huna jibu kwa swali langu ndiyo maana unazunguka zunguka!!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Iraq wa dola millioni 191 kwa Tanzania wazua mjadala mkubwa nchini Iraq

    Wewe mwenyewe umesema kukopeshana ni jambo la kawaida. Inakuwaje siri kumtaja tunayemdai? Mbona wakati tunasaini mikataba ya kukopa inaonyeshwa wazi kupitia vyombo vya Habari?!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Iraq wa dola millioni 191 kwa Tanzania wazua mjadala mkubwa nchini Iraq

    Labda hukunielewa! Hatuzungumzii mikopo ya ndani; tunazungumzia mikopo ya kimataifa. Sisi tumekopesha Taifa gani?!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Iraq wa dola millioni 191 kwa Tanzania wazua mjadala mkubwa nchini Iraq

    Sisi kama taifa tumemkopesha nani?!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Baba Fed amemuoa mkwe wake chap baada ya Fed kumuacha

    Hakuna cha mali. Mwenzio kamfia Ba mkwe..!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini asimamishwa kujihusisha na shughuli za Chadema, apewa siku 14 kujieleza kwanini asivuliwe uanachama

    Hajakatazwa kukosoa; ila afuate taratibu zilizowekwa na chama chake.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Vijana wa Tanzania wamenituma niwaambie hawataki vurugu, wanataka Amani

    Amekutana nao wapi wakamtuma wakati mikutano imepigwa marufuku?!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nimeoa mke mlokole ila sikushauri uoe mlokole

    Akikukula kilokole utakata kiu....?!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa nchini, CHADEMA haiwezi kupata wabunge zaidi ya wawili endapo itakuwa na sifa ya kushiriki uchaguzi

    Kama Chadema kiko hoi ina maana hata hizo agenda zake ni wachache sana wanaofuatilia. Kwa nini kupoteza muda kuwajadili?!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kukaa kimya kwa Mbowe hakumsaidii chochote, zaidi ya kumtambulisha ni mtu wa kununa

    Sasa unataka mbowe aongelee chama kama nani?! Si alishastaafu? Au Chadema walilalamika kuwa Hawaii ushirikiano pale wanapomwitaji?!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya CCM haibebwi kwenye mabasi, inabebwa na mioyo ya watu

    Hahaha. Wamekwepa aibu....!
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya CCM haibebwi kwenye mabasi, inabebwa na mioyo ya watu

    Leo katibu mwenezi wa CCM anafanya mkutano Stendi ya mabasi! Nimekuwa najiuliza kwa nini hakufanyia kiwanja cha mashujaa ambapo eneo ni kubwa?!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ulega: Kwa ajili ya AFCON, kuna mpango wa kuweka Taa za Barabarani Dar na Arusha za Bilioni 40

    Halafu taa zenyewe wanaweka zenye bora mdogo; baada ya miezi Sita unakuta zimezima karibu zote...!
  15. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yadaiwa kuwazuia Wabunge wa Ulaya (EU) Kufanya Ziara Nchini

    Wameamua kuanzia kwetu. Kuna shida gani?!
Back
Top Bottom