Recent content by ASAKI

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Dr mimi ni mwanamke wa miaka 39 nimetolewa kizazi mwaka juzi na sina tatizo ila swali langu ni; sehemu ya juu ya mdomo chini ya pua kumetokea rangi nyeusi mfano wa ndevu za kiume au mustache. sasa swali langu ni je hii alama inaashiria tatizo gani ndani ya mwili? na je dawa yake ni nini?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kuku layers wa Burundi Mwanza

    Wakuu, natafuta kuku wa Burundi walioanza kutaga kwa wafugaji wa mwanza. Mwenye Hao kuku anitafute kwa namba 0757756948
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kuku wa mayai wanamiezi miwili wameanza kutaga wanauzwa mwanza

    Mkuu mimi nawataka Hao kuku ila uniambie ni kuku wa Aina gani
  4. A

    JamiiForums Tanzania Namna ya kukuza na kuendeleza kipaji chako

    Umeeleweka mkuu. Shukrani
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kuku wa chotara 130 wanauzwa wako Mwanza

    Ni chotara wa Aina gani mkuu na unapatikana mwanza sehemu gani?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku wa kisasa wa mayai

    unapatikana wapi mkuu?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ukiona wenzako wanavyofanya ufugaji wa kuku, Mabanda yao walivyojenga, kwa hakika hutaacha kufuga

    mkuu aman mimi naomba contacts maana nahitaji kufuga
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kware (Quail)

    nikipata mayai au kware wenyewe ni sawa. naomba contacts za huyu mtu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kware (Quail)

    Kwa wajasiriamali, natafuta mayai ya kaware kwa ajili ya kutotolesha. Nipo Mwanza. Msaada tafadhali
  10. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Wakuu, nashukuru kwa michango yenu ila samaki ninaotaka kupeleka ni sangara wakuu maana hao sato ni ghali sana
  11. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Wakuu, natamani na tayari nimepata mtaji wa kusafirisha samaki toka Mwanza kwenda Arusha ila nahitaji msaada wa jinsi ya kuanza na masoko ya huko Arusha, tafadhali naombeni msaada
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa meditation

    Nirudishe kwenye watsap tafadhali maana kuna mtu alitumia cm yangu akanifuta 0757756948 nilete mrejesho
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kuku aina ya kenbro

    Kwa wale wa sirari na tarime naomba kujua kama kuna uwezekano wa kuwapata hawa kuku aina ya kenbro kutoka kenya au hata mayai yake
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    mkuu, inabidi uwe na parent stock wa broilers ndipo utotoleshe
Back
Top Bottom