Recent content by as2

  1. as2

    Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Ujenzi wa mabwawa
  2. as2

    Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Tunatoa huduma zifuatazo kwa ufugaji samaki
  3. as2

    Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Mabwawa ya kuchimba na kuweka nylon(liner) Sent using Jamii Forums mobile app
  4. as2

    Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Tunafika mkuu kukupa huduma Sent using Jamii Forums mobile app
  5. as2

    Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Ni mabwawa 2 ya ukubwa wa mita 5*5 Sato(monosex)500*500
  6. as2

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Daah atamimi nimeshindwa kuivumilia
  7. as2

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kali sana hiii,,afu ina histolia ya kuuzunisha
  8. as2

    Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    VIFARANGA VYA SATO VINAPATIKANA Mixed sex(jinsia tofauti/wanaozaliana) kwa 200Tsh Mono sex(jinsia moja/wasio zaliana) kwa 250Tsh Location:kigamboni Contact:0714420808/0789290156
  9. as2

    Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Ujenzi wa bwawa la kuchimba Hatua za mwanzo
  10. as2

    Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Elimu juu ya ufugaji samaki/miradi ya samaki ~aina ya samaki wanaofugwa hapa nchini(maji baridi/maji chumvi) ~Ufugaji wa kisasa/kibiashara ~umuhimu wa samaki katika jamii zetu,, ~Hatua za mwanzo kabla ya kuanza ufugaji ~mambo yakuzingatia wakati wa ufugaji ~uvunaji ~masoko Aina za mabwawa ~mambo...
  11. as2

    Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Bwawa likiwa limewekwa wavu kwa juu Ili kuzuia ndege Ili kuzuia uchafu(majani,miti) Ili kupunguza wadudu(wakubwa)n.k Sent using Jamii Forums mobile app
  12. as2

    Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Kwa bwawa la sqm 100(Lina weza kukaa Sato 1000)wasiozaliana Kwa ujenzi wa kutumia tofali Lina gharimu 3.5mil Kwa ujenzi wa kuchimba na kuweka nylon linagharimu 2.7mil Kwa kuchimba tu(kwa sehem za udongo mfinyanzi) 1.3mil
  13. as2

    Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Bwawa la kawaida au ufugaji wa kawaida wapo wanaoanza na kufuga samaki 1000 iwe Sato au kambale,,je unaitaji kujua gharama kwa ufugaji wa samaki idadi iyo?
  14. as2

    Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Mavuno Sato 500gm
  15. as2

    Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Mavuno Kambale 5kg
Back
Top Bottom