swala kama hilo cdhani kama lina ukweli. kwa sababu teknolojia ipo juu kwa sasa tupatie ushaidi. na siyo maneno matupu!! na ikithbtika kafanya ivyo inapaswa achukuliwe hatua...
ushauri wangu kama kwrli mtu unamkubali roma na kuthamini kazi yake, basi usiwe kama mafisadi kwa kudownlod huu wimbo, changia kazi yake kwa kutuma elf tatu kwenye number iliyotajwa hapo juu, hapo itaonesha jinsi gani tumeikubali kazi yake na siyo kutla maneno mengi kumsifu bila kumpa support...
hili swala linakera nadhani kuna bahadhi ya vitu bunge linapitisha alivijui, tofauti ya asilumia 1500,na wabunge wanapitisha sasa hawa wanaojiita upinzani na wanaojiita chama tawala wote lao moja tuu, kupigia kelele nani kala nani kala bila kujali wanapitisha kitu cha kwenda kuwaumiza wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.