Recent content by Arturo

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki mmoja wa kike ni sawa na marafiki watano wa kiume/zaidi

    Noted.
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki mmoja wa kike ni sawa na marafiki watano wa kiume/zaidi

    Hapana mkuu. Show some respect brother.
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki mmoja wa kike ni sawa na marafiki watano wa kiume/zaidi

    Sijalaumu ila nimeelezea ukweli mkuu.
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki mmoja wa kike ni sawa na marafiki watano wa kiume/zaidi

    Ipi hiyo mkuu.
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki mmoja wa kike ni sawa na marafiki watano wa kiume/zaidi

    Ni akili zangu mkuu. Kwani vipi mkuu?
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki mmoja wa kike ni sawa na marafiki watano wa kiume/zaidi

    Habari za mchana wakuu wa MMU? Bila kupoteza muda, ni kwamba ukubali au ukatae ukweli ni kwamba ukiwa na rafiki mmoja wa kike ni sawa na marafiki watano wa kiume au zaidi. Iko hivi mwanaume ukitokea umejenga urafiki na mwanamke hakika linda huo urafiki wenu kwa gharama yoyote kwa sababu...
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kweli baadhi ya wanawake/wanaume wana mikosi hapa Duniani?

    Yapo sana tu mkuu. Usiombe ukapigwa uchawi wa mikosi/nuksi.
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kweli baadhi ya wanawake/wanaume wana mikosi hapa Duniani?

    Ahsante mkuu. Nitalifanyia kazi mkuu.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nyerere’s legacy: Where is Tanzania heading?

    Unarguably J.K Nyerere was the one who failed this country. However, On behalf of the successors, I would like to ask you an important question in respect of stronger governing institution. Could you build such a strong governing institution if you accorded an opportunity of being a president of...
  10. A

    JamiiForums Tanzania This is Tanzania, the land of milk and honey

    A reasoned article, however, even Tanzania is still protecting the mighty corrupt government officials.
  11. A

    JamiiForums Tanzania My people of Tanzania

    Could you please adhere to the rules and guidelines of this forum?
  12. A

    JamiiForums Tanzania My people of Tanzania

    That aside, the problem with this man is that he doesn't want to be criticized/corrected or to hear whatever is against his idea. Furthermore, I would like to stress on the point that he is nothing but a copycat and kakistocratic. He would be a great leader, son of Africa or be whatever if...
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kweli baadhi ya wanawake/wanaume wana mikosi hapa Duniani?

    Waganga mtajiri wanapatikana wapi mkuu?
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kweli baadhi ya wanawake/wanaume wana mikosi hapa Duniani?

    Maandiko gani? Mbona Mfalme Suleman alifanya zinaa na wanawake 300 na bado Mungu wa Israel alimpenda na kumpa baraka kama zote?
Back
Top Bottom