Recent content by Artifact Collector

  1. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Huyu member Dennis Roberts aliyetangaza kugombea urais wa Tanzania ni mtu wa ajabu sana sio wa kawaida

    Mzungu kupitia colonial legacy alihakikisha mwafrika hawi kufikiria chochote kile anachofikiri anakutana na strong criticism kutoka kwa ndugu zake alafu mzungu anakuja kumalizia kazi kirahisi Leo hii mwafrika mwenye PhD au professor furaha yake ni kuona research/article yake imekuwa publish...
  2. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Huyu member Dennis Roberts aliyetangaza kugombea urais wa Tanzania ni mtu wa ajabu sana sio wa kawaida

    Haya ndo mambo ambayo yananishangaza kuhusu Dennis Roberts Jamaa ametangaza nia ya kutaka urais ilihali ana miaka 33 ni jambo la kuchekesha ila la kufikirisha hasa ukimsikiliza anachoongea labda yuko kwenye maandalizi ya miaka ya mbeleni ila very very weird kwa jina wa kitanzania na kiafrika...
  3. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Sio tu kulipa faini sisi mashabiki wa Simba tuko tayari kuchangia timu ifanye usajili wa maana na hata kulipa wachezaji mishahara

    Tunamsaidia kuendesha timu kwani ni kosa tajiri ana-mambo mengi
  4. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Sio tu kulipa faini sisi mashabiki wa Simba tuko tayari kuchangia timu ifanye usajili wa maana na hata kulipa wachezaji mishahara

    Wewe sio mshabiki wa simba bali ni wa Yanga kwa hiyo huwez elewa
  5. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Sio tu kulipa faini sisi mashabiki wa Simba tuko tayari kuchangia timu ifanye usajili wa maana na hata kulipa wachezaji mishahara

    Tajiri dewj usione aibu kutuomba tuongezee tulichonacho ili timu isajili vizuri tuko tayari kuichangia timu Hizo kelele na kebehi za mashabiki wa Yanga usizingatie sisi tuko tayari kuichangia timu yetu kipenzi simba ili isonge mbele zaidi ya ilipo sasa Tuko tayari kuipigania timu yetu simba...
  6. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

    Anatafuta namna ya kujifariji
  7. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

    We jamaa ni mjinga iran na urusi wangebaki wanapigane kuliko kukimbia
  8. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Dola zimeadimika kwasababu wageni wanavuna fedha za miradi kuliko wazawa

    Angekua anaonyesha njia usingekuja kulalamika huku Fahamu kila kitu kipo chini ya ccm Ndo maana nasemaga machawa hamnaga akili
  9. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Dola zimeadimika kwasababu wageni wanavuna fedha za miradi kuliko wazawa

    Wadanganyika hawana akili Wakingozwa na samia pamoja na machawa wake kama wewe
  10. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Dola zimeadimika kwasababu wageni wanavuna fedha za miradi kuliko wazawa

    We kama chawa wa samia mwambie sio kuja kulalamika huku mitandaoni
  11. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Nchi sita za Afrika zilizopindua Serikali zao zilikuwa sahihi

    Chawa kama wewe haina faida kwako
Back
Top Bottom