Recent content by artha

  1. artha

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini wanaume wengi wakikataliwa na wasichana huishia kusema demu mwenyewe wa kawaida tuu

    Sio level yako kivipi amekuzidi au umemzidi
  2. artha

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini wanaume wengi wakikataliwa na wasichana huishia kusema demu mwenyewe wa kawaida tuu

    Habarini za jioni wapendwa ....Poleni na majukumu ya hapa na pale. Nisiwachoshe sana hebu twendeni kwenye hili swali kwa upande wangu naonaga ni tatito sana hasa kwa wanaume. Eeeti kwanini wanaume wengi wakikataliwa na wasichana huishia kusema demu mwenyewe ni wa kawaida tuu hata kama ni...
  3. artha

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini wasichana wengi warembo wanakosa kujiamini wanapotongozwa na wanaume?

    Oky kumbe wakawaida.... ??? :D
  4. artha

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini wasichana wengi warembo wanakosa kujiamini wanapotongozwa na wanaume?

    Ni warembo sana yaani ila ukianza kumtongoza tuu unamuona anaanza kutetemeka Mara kashika kidole hiki Mara kile duuuh Na hats majibu anatoa tuu unayaona ni mtu asiejiamini
  5. artha

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini wasichana wengi warembo wanakosa kujiamini wanapotongozwa na wanaume?

    Luckyline hebu Na ww tuambie kidogo kwa nn
Back
Top Bottom