Swali: Kwanini wanaume wengi wakikataliwa na wasichana huishia kusema demu mwenyewe wa kawaida tuu

Ila kuna jamaa office mate yeye zile za mtongozo wa barabarani akiona mrembo anamtolea nje husema nimekukumbuka wewe juzi nilikuona unapata haja kubwa pale mtaa fulani (akitumia neno husika) mwanamke gani wewe hata kujiheshimu hujiheshimu mara ya kwanza kusikia hivyo nilicheka sana LoL hahahahaha
hahaaaa huyo kaka ni chizii ,umenichekesha sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Habarini za jioni wapendwa ....Poleni na majukumu ya hapa na pale. Nisiwachoshe sana hebu twendeni kwenye hili swali kwa upande wangu naonaga ni tatito sana hasa kwa wanaume.

Eeeti kwanini wanaume wengi wakikataliwa na wasichana huishia kusema demu mwenyewe ni wa kawaida tuu hata kama ni alikuwa mzuri sana
Inategemeana aiseeh. Ujue sie wanaume wengine unaweza kukuta unatongoza demu wa kawaida ili uweze kusafisha rungu kisela hasa unapokuta hadi huyo wa kawaida kakutosa ndiyo unaishia kubaki kuhamaki yaani HADI HUYU DEMU WA KAWAIDA KANIKAZIA
 
Wa kwaida kweli, kwani Unadhani Mwanaume akutongozapo ni lazima uwe mkaaare? Lahasha huwa Mara nyingi tunafocus nyapu,hivyo basi usalga wako tuna assume negligible, kimbembe ukikataa tunaanza kureview sasa ule usalga. Asante kwa kusoma ukweli huu.
 
Acha tu halafu alikuwa anafanya makusudi kusema kwa sauti ya juu ili hata wapita njia wasikie. Warembo waliona aibu sana wakashindwa hata cha kusema lol hahahahahahah kila nikikumbuka nacheka sana.

hahaaaa huyo kaka ni chizii ,umenichekesha sana
 
Zamani nilimpenda mtu bhna sana sasa akawa ananitesa mno .
i think kidato cha nne .
so hapo nilikuwa nashangaa tu.
bado kadogo sana eti.
so nikagundua anampenda msichana wa mahali fulani.
akawa anamfukuzia siku kampata yule demu alimwambia maneno mawili matatu kwanza i am not interested.
2. your not my type
3.Get out in my house now before i can call my father.
dah rafiki yake alikuja kuniambia tulimcheka sana.
hakuwa na chakufanya .
sasa namimi nikamkomoa kaka yake alinipendaga nikaamua kumkubalia akaitwa mahali alipokuja alidhani tunasuluhishwa kumbe anatambulishwa .
my young bro .
please from now onwards this is your sister inlaw yaani.
backoff.
yule mkaka akasema bro it's not fair this lady was mine check ilivyomuuma .
so jinsi alivyoniringa nakwenda siko.
raha ni hii hajala. chakula cha roho so alienda full mzuka na presha juu.
kazi kwenu.
mnang'ang'aniaga watu ambao sio.
halafu badae mnabaki mawadho ya kiaina au mnachizika kumbe unataka mwenyewe eti nampenda kutoka rohoni mwongo wewe umeiona hiyo roho lini?
Kuna mtu alionaga roho yake au ni uzushi tu.
 
kuna hadithi ya sungura ya sizitaki mbichi hizi. kitafute kitabu hizo na uisome hadithi hiyo.

kwaheri ya kuonana!!
 
Habarini za jioni wapendwa ....Poleni na majukumu ya hapa na pale. Nisiwachoshe sana hebu twendeni kwenye hili swali kwa upande wangu naonaga ni tatito sana hasa kwa wanaume.

Eeeti kwanini wanaume wengi wakikataliwa na wasichana huishia kusema demu mwenyewe ni wa kawaida tuu hata kama ni alikuwa mzuri sana

Sizitaki mbichi hizi sasa sijui wakati anazirukia hakujua kuwa hazijawiva.
 
Hao ni wavulana sio wanaume hao.mwanaume huwa anapiga kavu.halafu anakuonyesha kwa vitendo ya kwamba umekosea sana kumtolea nje
 
Back
Top Bottom