Swali: Kwanini wanaume wengi wakikataliwa na wasichana huishia kusema demu mwenyewe wa kawaida tuu

Ni ujinga...

Unapotongoza mwanamke akikubali mfanye kweli wako, akikataa shukuru na kuendelea na hamsini zako kwa wema na roho safi kabisa...


Cc: mahondaw
 
Wewe utakuwa ni kasichana na hata wanao kutongoza ni agemate wako(vivulana) hivyo basi unahisi kila mwanaume ana tabia kama za hivyo vivulana.

Kwanza naomba ubadirishe hii heading yako hapo kwenye neno "wanaume" utoe uweke neno "wavulana".
 
Mzigua 90 ana nini huyo kwanza fulani kesha mpitia hana jipya ana maji mengi tu...!! ( testing )
 
Ila kisemwacho ni kweli, maana hata mwanamke akikukubali ukishapata hitaji la ngono, kinachofata wote mnakijua.
 
Habarini za jioni wapendwa ....Poleni na majukumu ya hapa na pale. Nisiwachoshe sana hebu twendeni kwenye hili swali kwa upande wangu naonaga ni tatito sana hasa kwa wanaume.

Eeeti kwanini wanaume wengi wakikataliwa na wasichana huishia kusema demu mwenyewe ni wa kawaida tuu hata kama ni alikuwa mzuri sana
Hili jambo ni kama zoezi la Hisabati, linahitaji kanuni na akili ya kufikiria ili uweze kukokotoa kwa usahihi.

Ukikosa ni lazima useme hesabu ilikuwa ngumu na ujilaumu pia kwa nini umekosa na ujitafakari ulipokosea.

Sasa kwa hii hesabu uliyoikosa utawezaje kusema ilikuwa rahisi tu!!

Kama ni kweli jinsi unavyosema, hapo wanakosea waliowahi kukumbwa na huo mkasa,. Wanatakiwa wajitafakari kwa nini wamekataliwa badala ya kuanza kusema ni wa kawaida tu.
 
Back
Top Bottom