Recent content by ARTBOY VAN KALA

  1. ARTBOY VAN KALA

    Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

    Useless thread,vipaji vipo na kama unabisha nenda kacheze mpira kama Messi tukuone
  2. ARTBOY VAN KALA

    PreGE2025 Polisi waenda Hoteli ya Serena kutaka kumkamata Mpiga picha na Mwanaharakati Kenya Boniface Mwangi ikihusishwa na kesi ya Lissu

    Mtanzania hutakiwi kuunga mkono kinachofanywa na hawa wakenya eti kisa una itikadi ya kisiasa huo utahira.
  3. ARTBOY VAN KALA

    Wafuasi wa Magufuli mbona kimya tena

    Mungu kawaonyesha unafik sio mzuri,wasijue kusifia tu wajue na kukosoa. Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  4. ARTBOY VAN KALA

    Wafuasi wa Magufuli mbona kimya tena

    N kwel hata kutekana na kukandamiza Watumishi hakuhitaj promo kabisa yan Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  5. ARTBOY VAN KALA

    Rais Samia anaongoza nchi kwa "danganya toto" style

    Ww una akili ndogo tu Mama wala hana tatzo, kweny hyo asilimia 23.3% alisema n kwa wale wa kima cha chin wanaopokea kuanzia kias kama laki tatu hv na wala si kwa kila mtumish hasa wale weny mishahara mikubwa, acha kukurupuka na kama uliwaahid watu utanunua gari ushakwama.Tumia akili kufikir...
  6. ARTBOY VAN KALA

    Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

    Waulize baba yao aliwaongeza sh ngap miaka mi5 Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  7. ARTBOY VAN KALA

    Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

    Acha na kaz kabsa ukalime Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  8. ARTBOY VAN KALA

    Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

    Huna uzalendo wowote bali tamaa tu znakusumbua,mtu kama ww upewe nchi utawapa had shemej zako uwazir, unafikir nch inaendeshwa kama familia?Hata ww n fisad tu asiye na cheo. Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  9. ARTBOY VAN KALA

    Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

    Usijidanganye tena futa hayo mawazo, will never happen. Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  10. ARTBOY VAN KALA

    Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

    Usitafute kilema cha makusud 2025 kaa na familia yako utulie hutaweza kupambana na jesh lenye hamu ya kuvunja miguu ya watu vburi,watanzania weng n wanafiki utabak peke yako kweny maumivu. Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  11. ARTBOY VAN KALA

    Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

    Anakuja huyohuyo usiyempenda na hutafany lolote mna mdomo mwing kuliko vitendo,ukijitia kburi utaumia peke yako. Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  12. ARTBOY VAN KALA

    Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

    Ww cha kufanya kusanya genge lako unaloliamin halishndw kitu muandamane mpaka ikulu mkamtoe vngnevyo kaa kmya tu huna msaada. Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  13. ARTBOY VAN KALA

    Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

    Kwa kuwa familia yako hakuna Watumishi ndio unaongea pointless,samia mi5 tena,kaz ziendelee,hutak hama nchi. Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom