Recent content by arrowhead

  1. arrowhead

    Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

    Duh.. Pole sana mambembe... But kuna kazi njema zaidi inakuja mbele, hizi ni changamoto za kupita tu
  2. arrowhead

    Makosa ya Mtandao: Mbaroni kwa ‘kumtukana’ Naibu Spika, Tulia Ackson

    Mwenyewe sijaona tusi asee.... Ni kijana tu aliyekerwa katoa maoni yake...
  3. arrowhead

    ATC Sasa Yaanza Kuleta Heshima ya Nchi, Yapunguza Tanzania Kufanywa Shamba la Bibi, FastJet Yapumulia Mashine, Soon Itafungasha Virago!.

    Mkuu nimesema "nitafurahi ".... Namaanisha siku ikiweza kuwa chaguo namba moja kwa watanzania na walio nje ya Tanzania nitafurahi... Naamini utafurahi pia
  4. arrowhead

    ATC Sasa Yaanza Kuleta Heshima ya Nchi, Yapunguza Tanzania Kufanywa Shamba la Bibi, FastJet Yapumulia Mashine, Soon Itafungasha Virago!.

    Sifurahii mashirika mengine kufa, lakini natapata furaha sana kuona shirika la ndege Tanzania linakuwa chaguo namba moja kwa watanzania na wasio watanzania...
  5. arrowhead

    Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani?

    Mkuu Mayalla hoja yako ni nzito sana. Japo nimesoma kwa kuchelewa huu uzi, nimenufaika sana kwa mchango wako huu. Naamini vyombo husika pia vimeelewa na vina kila sababu ya kuzingatia mashauri yote haya.. Umenifurahisha sana katika lako la binafsi.. Wazee wanaweza kwenda na kurudi hata pasipo...
  6. arrowhead

    Mliokuwa 'mkimdhihaki ' Rais Dr. Magufuli juu ya Ununuaji wa Ndege Kubwa pateni mfano huu Kuntu wa Kenya

    Hahahaha... Kwa hiyo unajiamini kwa Kuwa Kenyatta kasema???? Tunakoseaga sana na muda mwingi tunaishia kuhaha katika mipango mingi isiyo ya kudumu kwa kuiga nchi nyingine zinavyojikwamua kiuchumi. Mazingira ya nchi na nchi hayafanani mkuu..., Tanzania tunahitaji strategies zetu zinazotufaa sisi...
  7. arrowhead

    Huu sii uchochezi? Wadai msimamo wa Rais Magufuli kupinga uzazi wa mpango utalitia umasikini bara lote zima la Afrika! Je, kuna ukweli wowote?

    Basi Tanzania vichaa wengi sana... Kwa maana yako serikali haipaswi kulaumiwa kwa vichaa hawa kama ulivyobaini?
  8. arrowhead

    Huu sii uchochezi? Wadai msimamo wa Rais Magufuli kupinga uzazi wa mpango utalitia umasikini bara lote zima la Afrika! Je, kuna ukweli wowote?

    Najiuliza bado, Kulikuwa na ulazima gani wa Mh. Raisi kuongelea hizi habari za kufyatua watoto? (n.b. watoto hawafyatuliwi, kama raisi anapaswa awe na kauli za kistaha kwa viumbe wanadamu). Ni vizuri éndapo raisi atazingatia mambo muhimu ya kuwafikishia wananchi wake, hasa yale yaliyopo kwenye...
  9. arrowhead

    Wakati Tukisubiri $ Milioni 300 zetu Kutoka Barrick, Yauza Hisa za $ Milioni 300 Kwa Mchina Huku Ikinunua Mgodi wa Randgold Kwa $ Bilioni 18.3!.

    Mkuu asante kwa taarifa. Kwanza Napenda kumpongeza Mh. Raisi kwa uzalendo, kwa nia yake njema ya kupigania rasimali za taifa letu. Pili naomba kufahamu éndapo wafahamu madeni yote wanayotudai Acacia, tofauti na makinikia na VAT refund kama ulivyoainisha katika bandiko lako. Hofu yangu ni kuwa...
  10. arrowhead

    CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

    Tutarajie usajili wa vyama mamluki (vyama shirika na chama tawala) ili kuonesha bdo tuna Siasa ya vyama vingi....
  11. arrowhead

    Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?

    Umeeleweka crucifix, tuombe Mungu hii strategy ifanye kazi mapema sana kabla ya 2020..mbali na hapo hali halisi tunaiona....
  12. arrowhead

    Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?

    Mayala ingependeza zaidi éndapo ungeishia tu kuomba radhi... Maelezo mengine bado yanaleta taharuki kwa wasomaji...
  13. arrowhead

    Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?

    Jaimee unaamini njia zinazotumika na vyama pinzani zinaweza wapatia haki zao katika chaguzi zijazo ? Kwa kuzingatia matukio ya nyuma na njia chadema walizotumia kudai haki zao, unadhani njia hizo ni sahihi ? Ikiwemo kususia chaguzi, kutoka katika vipindi vya bunge, kutohudhuria kuapishwa kwa...
  14. arrowhead

    Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?

    Mkuu tabia hatuipimi kwa kauli au tendo moja. Mazoea ndiyo hujenga tabia. Tabia ya kususa kwa vyama pinzani haijaanza katika chaguzi hizi ndogo, ilokuwepo hata katika chaguzi kuu zilizopita. Hoja Hapa ni kutaka kujua éndapo njia hii ya kununa ina mashiko au ndo itakuwa kumsusia ngedere shamba la...
  15. arrowhead

    Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), ampa Mbowe siku 7 kuomba radhi

    "mimi si wa kutania...." msemo huu umekuwa maarufu sana kipindi hiki....
Back
Top Bottom