Recent content by Aron Mvembezi

  1. Aron Mvembezi

    Uzinduzi wa Albam ya Video Mpya.

    Mungu nimwema nitaoa tu mpendwa
  2. Aron Mvembezi

    Live Wimbo ulio wanafiki watu wa Nzega

    [emoji120][emoji120]
  3. Aron Mvembezi

    Baraka hizi ni zako pia sio Kenya tu

    https://youtu.be/OJ_c-kqEd4k?si=CkRnIwDNNegB_gm6
  4. Aron Mvembezi

    Ukisikiliza hakika Mungu anakutendea

    Aron Mvembezi Ft Yohana Anthony - Yupo Mungu wa kweli. Ni wimbo wenye matokeo makubwa ya nguvu ya Mungu. Ukisikiliza Nikama umefanya maombi ama imeombwa. Kama huamini hemu utazame na usikilize.
  5. Aron Mvembezi

    Neema ya Mungu imetubeba

    Picha hizi siukumbusho tu lakini nikwamba Mungu ametuonekania tukiwa Kenya kwenye huduma. Picha na Mtumishi Robert Masai.
  6. Aron Mvembezi

    Live Wimbo ulio wanafiki watu wa Nzega

    Tazama video hiyo ambayo itaonyesha huduma nikiwa Nzega Tabora. Kwa sasa napatikana Der es salaam.
  7. Aron Mvembezi

    Uzinduzi wa Albam ya Video Mpya.

    Shalom Shalom wapendwa. Ninamaandalizi ya tamasha la uzinduzi wa Albam ya video Mpya. Tamasha linafanyika Mkoani Tabora Nawakaribisha sana kusapoti maandalizi poa karibuni sana ndugu zangu 24 sep,2023 Walio tayari naomba tuwasiliane kwa namba hizo kwenye post.
  8. Aron Mvembezi

    Mimi ni mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania, natafuta management

    Habari ya uzima wapendwa, Mimi ni mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania, natafuta mtu wa kusimamia misingi wangu yani management. Kama unawiwa naomba tuwasiliane. +255693214177 Kwenye platform napatikana kwa kina la Aron Mvembezi. Yani YouTube na sehemu zingine https://youtu.be/x0akQ0BqSHg
  9. Aron Mvembezi

    Ufugaji wa Samaki

    Nina eneo kubwa bwawa kubwa mkoani Tabora natafuta mtu wa kushirikiana naye tufunge samaki Mawasiliano 0693214177
Back
Top Bottom