Recent content by Arnomos

  1. Arnomos

    Angekuwa ni kiongozi wa CHADEMA ndio ameingia clouds na vijana wa Red Brigades ingekuwaje?

    Nchi ina wenyewe hii. Then unakutana na mtu anakwambia eti CCM wanafanya kazi. #Ooh_please!
  2. Arnomos

    Vifurushi vya internet

    Unaipataje hii huduma
  3. Arnomos

    Tuache ushabiki wa vyama vya siasa

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Itabidi niache aisee
  4. Arnomos

    Tuache ushabiki wa vyama vya siasa

    Kuna mzee mmoja nilionhea naye na aliniambia kitu kizuri sana. Alisema, Unajua hivi vyama vya siasa, vinapewa ushindi na watu wasiokuwa na vyama. Mfano, wale ambao wao sio either CHADEMA au CCM, wao ndio huvipa ushindi vyama hivi kwasababu, unlike wale wenye ushabiki wa vyama, hawa husikiliza...
  5. Arnomos

    Ndege aina ya Dreamliner ina thamani ya bilioni 500, pesa hii ingetatua nusu ya matatizo ya maji

    To be honest, ndege mpya za kisasa na zenye sura nzuri zinatengenezwa kila siku. Ofcoirse tulikuwa na shida ya ndege lakini tushanunua mbili tayari, kwanini tusi focus kwenye vitu vingine instead of ku invest kwenye ununuzi wa ndege tu. Hapa juzi kulikuwa na tatizo la uhaba wa madawa wakati just...
  6. Arnomos

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Kumtibu mtu kuna husihsa kumloga?
  7. Arnomos

    Vifurushi vya internet

    Am desperate kuja kuona siku Tanzania itafanya kitu sahihi na kizuri mpaka tuje tufurahie na sisi, yaani we are so good at kukosea.
  8. Arnomos

    Vifurushi vya Internet

    Sasa ukiongelea Subscribers kupanda na kushuka, I think they re better off kushusha gharama ya Internet kwasababu hapo ndipo watakapofanya biashara kubwa kuliko kwa bei hizi. Ofcourse vitu kama Internet ni luxury needs, so mtu anaweza ishi bila kuwa navyo, so bei inapopanda, maana yake...
  9. Arnomos

    Vifurushi vya Internet

    Kwa Tanzania ilivyo ninavyoijua mimi, siky zote wana terget sehemu yenye wingi wa watu ndo inaelekeza hapo kodi zote, toka nimeanza kusikiliza bunge la budget sijwahi ona wakishusha kodi, mara nyingi wanapandisha tena sana sana kwenye hizi luxury needs.
  10. Arnomos

    Vifurushi vya Internet

    Eeeeh!! Mi nikajua vifurushi vya chuo ni mpaka mtu uwe eneo la chuo kumbe kuna na option ya line. Lakini si wanaweza kunitengenezea line yenye namba hii hii niliyo nayo?
  11. Arnomos

    Vifurushi vya internet

    Inabidi tu aisee
  12. Arnomos

    Vifurushi vya internet

    Duuuh, hiyo ni huduma ya roaming au?
  13. Arnomos

    Vifurushi vya internet

    Tuliambiwa na nani, mbona mi sikumbuki.
  14. Arnomos

    Vifurushi vya internet

    *149*03# lakini sio kwa kila mtu ni kutokana na matumizi yako watakusoma then wanakupa hizo ofa.
Back
Top Bottom