Vifurushi vya internet

Vifurushi vya internet

Niliongelea hili kua tatizo internet kwetu ni anasa wakati hukombele ukianza na Asia hii kitu ni kama nyenzo muhimu ya kupanda kuelekea maendeleo hivyo wao wameifanya kua very cheap na inavyoendea huko mbele itakuja kua free service kabisaa!Mfano mzuri Nchini Malaysia tuliopata Uhuru nao Kipindi kimoja
Am desperate kuja kuona siku Tanzania itafanya kitu sahihi na kizuri mpaka tuje tufurahie na sisi, yaani we are so good at kukosea.
 
Niliongelea hili kua tatizo internet kwetu ni anasa wakati hukombele ukianza na Asia hii kitu ni kama nyenzo muhimu ya kupanda kuelekea maendeleo hivyo wao wameifanya kua very cheap na inavyoendea huko mbele itakuja kua free service kabisaa!Mfano mzuri Nchini Malaysia tuliopata Uhuru nao Kipindi kimoja
kwa tz yetu internet haitusaidii lolote habar zakina diamond ndo zinazosomwa zaidi bora iwe hivyo af watu wanaotumia internet ya halotel line ya chuo sijui wanapataje wengi sio wanachuo
 
Kama bado uko voda lazima uteseke,
Mtandao mpya hauja sala bei zake, HALOTEL mpango mzima
 
Hata hao watapatwa tu, na halotel labda line ya chuo ndo ina bundle zinazotazamika amd then nikisema nihamie halotel basi nitajikuta nina line jumla saba za simu na hapo bado sijajumlisha line nazotumia kwenye modem, yaani nina tabia kila nikiona sehemu fulani ina bundle za nafuu nakimbiliaga huko na nikishafika sikai sana nao wanapandisha tena. Yaani kama kodi inatozwa kwa voda, basi hata tigo, airtel na wengine watakuwa wanatozwa hivyo hivyo.
Kadi ya simu ni kama daladala unaangalia wapi kuna huduma nzuri upande. Huwezi kung'ang'ania gari bovu kwa sababu tu umelizoea! Litakufirisi.
 
zipo hadi ofa za 1000/= kwa wiki unapata 1.1GB Airtel
 
Pricing ya mitandao ya simu sasahivi inaangalia Internet.. So tulia tu
 
Back
Top Bottom