Mfano mzuri sana mkuu. Ile 'kukwaruzana' ndio tunayoiona sasa hivi mtandaoni. Kila mmoja anataka aonekane yeye ndio anaijua dunia zaidi, kumbe kiuhalisia wanategemeana sana
Habari za jioni wana-JF,
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la mijadala na utani mwingi mtandaoni unaoonyesha kuwepo kwa mivutano kati ya kizazi cha Millennials (waliozaliwa miaka ya 1980 hadi katikati ya 1990) na Gen Z (waliozaliwa kuanzia mwishoni mwa miaka ya 1990 hadi mapema 2010)...
Kadiri ninavyowachunguza watu na mahusiano yao, ndivyo ninavyozidi kuamini kuwa moja ya matatizo makubwa tuliyorithi kutoka kwa wazazi wetu ni utamaduni wa kuishi kwa ajili ya maoni ya wengine.
Wazazi wengi walilelewa katika mazingira ambayo heshima ilipimwa kwa namna jamii ilivyokuona. Matokeo...
Wakuu salamu,
Naandika hii mada nikiwa na hasira sana na huu uhuni unaofanywa na Airtel kwenye hizi router zao. Yaani huku ni kuibiana mchana kweupe na ukiwahoji hawana majibu ya kueleweka kabisa.
Mimi ni mhanga na mchezo wao mchafu uko hivi:
1. Uongo wa bando za 'Unlimited'
Tarehe 22/05...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.