Recent content by Arnold Ndege

  1. Arnold Ndege

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

    Changamoto ya upumuaji tena! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Arnold Ndege

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

    Simpi ng'o! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Arnold Ndege

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania hufurahia sana mabaya yanapotutokea kama Taifa?

    Kwenye familia ya wachawi, akitokea asiyekuwa mchawi lazima awachukie nduguze ambao wanaua watu kwa uchawi. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Arnold Ndege

    JamiiForums Tanzania Tuondoe kwanza umasikini kabla ya ujinga na maradhi

    Umasikini ni mtaji wa chama,ukiuondoa hayo marapurapu ya kijani utamuhonga Nani? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Arnold Ndege

    JamiiForums Tanzania Mfalme Herode

    Shetani hajawahi kushinda,na haitatokea!. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Arnold Ndege

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kuachana na masuala ya Siasa, nina ya kujutia mengi

    Ongeza volume tafadhari. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Arnold Ndege

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA tunaamini kwamba umaskini ni laana na kila mwanachadema ni tajiri rohoni mwake

    Ccm Mmedhurumu viwanja vya michezo na majengo ya wananchi, mengine mmeyafanya kuwa ofisi zenu za Wilaya na Mikoa. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Arnold Ndege

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli 2020: Jogoo la Shamba linapowika mjini, wa mjini hujaribu kujitutumua!

    Kwa uwezo wa gamboshi? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Arnold Ndege

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Huduma za NIDA ziwe kila Wilaya au NIDA watoe hela ya 'guest' kwa Wananchi. Ukiona bei ya mahindi iko juu, kalime yako

    Kwa mtindo huu nimpongeze kwa lipi? Matatizo Kila Kona ya nchi!
  10. Arnold Ndege

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mlipopanga kususa mlijadili haya? Mmejitakia catche 22!

    Upinzani ni Roho!
  11. Arnold Ndege

    JamiiForums Tanzania Vyama 7 vilivyojitoa uchaguzi wa mitaa vyatoa tamko la pamoja

    Ni heri kufa umesimama kuliko kuishi kwa kupiga magoti!
Back
Top Bottom