Recent content by Arnold Kalikawe

  1. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Wadogo zangu ngoja niwape stori fulani hivi kwenye muziki wa HipHop nchini Marekani

    Miaka ya 2000 kulikuwa na wanamuziki wanne wenye majina makubwa ambao hao waliamua kuwaita kwa jina la Big Four yani Jay Z, Nelly, DMX na Eminem. Huyu jamaa unayemuona kwenye picha aliibuka tu na kuanza kupiga kelele mitaani na Mixtape yake fulani hivi. Hakuna yeyote kwenye hii Big Four...
  2. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Teknolojia inavyotusogeza karibu na Shetani, mbali na MUNGU

    Inafika kipindi inabidi tukubaliane na mabadiliko ya dunia hii. Hatuwezi kuishi kwenye dunia kama babu zetu ama nyani wa msituni. Ni lazima tukubaliane na matakwa ya dunia yanavyotutaka kwa sababu ndipo tunapoelekea na kulazimishwa kuishi. Watawala wa dunia kwanza walitutaka tuwe bize sana...
  3. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Edward Teach (Blackbeard), Mwamba aliyekua anaokoa watumwa baharini ili wafanye kazi za wizi wa Meli (Pirates)

    Baharini kuna mali nyingi sana sema tu inakuwa ngumu sana kuzifikia. Kuna stori ya jamaa mmoja aitwaye Edward Teach ama Blackbeard kama alivyokuwa akijulikana. Mchizi huyu alizaliwa mwaka 1680 na kufariki 1718. Kwa miaka hiyo huyu jamaa ndiye aliyekuwa akiongoza kwa kufanya wizi mkubwa humo...
  4. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ahudhuria uzinduzi wa Album ya Harmonize

    Mchungaji Mwaposa ameonekana Katika tamasha la uzinduzi wa Album ya Harmonize kitu kilichozua maswali. Mwamposa ni mchungaji kitu ambacho kinamfanya asiwe mpenzi wa nyimbo nyingi za Harmonize kwa sababu haziendani na maadili ya kikristo, licha ya hilo Harmonize ni Muislam tofauti na mwamposa...
  5. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Sifa na Jinsi ya kujiunga na Duka la Posta Mtandao

    Katika ulimwengu wa leo tumeshuhudia Teknolojia ikipamba moto, sambamba na hilo wafanyabiashara na watumiaji wa bidhaa za biashara wamekuwa wakitafuta namna bora ya kuuza na kuagiza bidhaa kwa njia ya mtandao. Kama tunavyoijua mitandao maarufu ya kuagiza bidhaa kama Alibaba, Amazon, Ebay na...
  6. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Blackberry na Nokia zilipendwa sana miaka ya nyuma, ila walikuja kuanguka vibaya sana

    Blackberry na Nokia yameanguka, tena yameanguka sana. Pamoja na kuwa na simu kali zenye kamera nzuri, speed kubwa ila wakaanguka. Walianguka kwa sababu hawakuwa na viongozi wenye kufocus ulimwengu jinsi ulivyo. Yaani walikuwa katika miaka ya 2000 lakini akili zao zilikuwa zinafanya kazi ya...
  7. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Kataa kitambi, unene kupindukia sio afya

    Siku zote, wenzetu wanakula, na wakila, wanakula vyakula ambavyo vinajenga miili yao. Zamani chakula kama hiki hakikuwepo Tanzania, lakini siku hizi vipo vingi tu. Tembelea supamaketi ukakutane na vyakula mbalimbali, vyenye afya, sisi tunakula ila ulajibwetu ni wa kijinga. Ndiyo! Ni wa kijinga...
  8. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Jose Chameleon: Msanii aliyeitikisa Afrika Mashariki

    Huyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja Dr. Jose Chameleon aliivuruga East Africa na ngoma kali sana hit baada ya hit yani tunabandua Ugali tunabadika maharage yani...
  9. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Captain Geogre Bantu kurithi usukani kuliongoza jahazi bila Captain Mkuu Gardner G. Habash

    Sisi wengi wakongwe tunakumbuka historia ya Captain Gardner nguli wa vipindi vya redio, alianza kama muuza cassette (Kanda) za audio na video pale jijini mwanza kama mtu wa masoko, ndipo Othman Njaidi baada ya kuuona uwezo wa Gardner wa kushawishi wateja, akamchukua na kumpeleka Clouds FM japo...
  10. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Pwani hawajui kuzungumza kiswahili Fasaha

    Licha ya kiswahili kuzaliwa katika pwana ya Afrika mashariki, na kuzungumzwa zaidi Tanzania kuliko Mataifa yote. Kiswahili fasaha bado ni changamoto katika ukanda wa pwana ya Tanzania na visiwa vya Zanzibar. Leo katika harakati zangu za pimbi katika mkoa wa pwani, nikapita katika duka moja la...
  11. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yashika Namba Moja katika Vilabu Tajiri Zaidi Afrika Mashariki

    Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao. Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.
  12. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    Sasa hawe na roho mbaya kwenye afya yako... Yeye ukute hata hakujui, yeye katoa ushauri kitaalamu... Wewe unaleta porojo za ulevi
  13. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    Sura ikikauka ina maana hana mafuta mengi mwilini... Sasa wewe unadhani uzuri wa sura ndio afya
  14. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    Hatua 10,000 ni kama kilomita 6-8 kulingana na mwendo unaotembea
  15. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    Ushauri ni bure, ni kuamua kuufuata ama kuuacha... Yeye hajakulazimisha uishi namna yeye anataka
Back
Top Bottom