Wana jf ktambo jeshi la polisi wametoa list ya graduates na ufundi stad walioitwa kufanyiwa usaili ingia website ya polisi ucheki jina lako source ni www.policeforce.go.tz
Em kuwa sirias watatumiwaje email wakati wanachotakiwa kufanya ni kupost list nzima ya majina ya watu waliochaguliwa maana si watu wote wana acces ya net bwana plz ndugu be seriou acha kututia presha
Mamb vp wana jamii forum jaman tunachoomba mwenye info zozote atujulishe maana hawa jamaa website yao haipatikan na wala hakuna info zozote kuhusiana na hii mishe plz mpenda maendeleo yeyote mwenye info na plz atujuze tunakuomben utujuze
Swala sio kuwa mwanaume au mwanamke swala ni kupata pre information ambazo zitatusaidia sisi kuweza kuhandle program za depo emu achen mambo ya ajab sio necessar saana kuchangia kama huna point ya msingi ya kuchangia it beta ubaki kimyaa
Jaman eeh imefika wakati watanzania tuache uzumbukuku na upumbavu usio na kichwa wala mkia yani kuwaelezea watanzania wenzako jinsi jeshi linavyo waandaa wanajeshi wa tanzania mtu unasema ni siri za serikali? Mbona world faza aka USA mpaka mafunzo ya ufield marshal anayaweka mtandaoni ili vilaza...
Jaman eeh imefika wakati watanzania tuache uzumbukuku na upumbave usio na kichwa wala mkia yani kuwaelezea watanzania wenzako jinsi jeshi linavyo waandaa wanajeshi wa tanzania mtu unasema ni siri za serikali? Mbona world faza aka USA mpaka mafunzo ya ufield marshal anayaweka mtandaoni ili vilaza...
Ina maana tanzania haikupoteza askari maana unaongelea tu uganda ndo askari wao walikufa na pia naskia wanajesh wetu wengi walikamatwa mateka vp walirudishwa!?
Kwa yeyote mwenye uzoefu jeshin au mwenye taarifa za depo la jwtz linakuwaje tunaomba atujuze ili tuweze kujiandaa mapema tusije tukashindwa huko maporini tutakako pelekwa plz kumsaidia mtu ni jambo jema pia kwa kutupa taarifa ni msaada vile vile
Leo katk pita pita zang nilikutana na mjeda flani began alikuwa kma na vinyota viwili nkajaribu kumuulizia kuhusu post za jkt alichosema ni kwamba jkt wako katka hatua za mwisho za maandaliz ya kuandaa makambi pamoja na vitu muhimu kwa ajili ya kurecruit krut wapya na pia eti walikuwa wanasubiri...
Hivi jamani naombeni kuuliza ivi izi nafasi za jkt kwa sisi tulio tayari kujitolea kwa taifa letu zinatoka lini maana tumesubiri sana tangia mwezi wa saba mpaka huu ni wa kumi plz kwa yeyote mwenye valid information na atujuze nitashkuru sana kwa wote mtakao kuwa na mchango pia ata kwako we2...
jama kwa mwenye information zozote juu ya post za jkt na jw naomba anijuze plz coz weng wenu mlisema mwezi wa tisa ndo kitu kitakua hwewan kiukweli tunasubiri kwa hamu kubwa hii nafasi coz ndo mkombozi wetu aliyebakia nauliza ili nsije kuta wenzangu washaondoka nami nkabaki najilaum plz kama...
plz wana wa mkeka huu kwa yeyote mwenye taarifa kuhsu lini hawa jamaa wanatoa hizi post zo naomba anijuze kwani hiz ni siku za mwisho mwisho so usipo uliza yawezekana nafasi zikaoka kmya kmya uf mtu unakuja skia kuwa wiki moja iliyopita wenzio walifanyiwa usaili na wa washapewa na namba tayari...
jamani hizi ni siku za mwisho mwisho majeshi yote karibia yanatoa nafasi zake so tafazali waungwana kwa kila mwenye taaifa kamili kuhusiana na lini nafasi hzi zinztoka ninaomba tupeane taarifa ndugu zangu kwa sabsabu tun atofautianabkatika uwezo wa kupata taarifa kwa wakati naomba wale wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.