Recent content by arkam mpogoro

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya Kizimkazi kinatoa matibabu na chakula bure

    Upo sahihi lakini sasa bias haitakiwi kuwa noticeable, kufikia kiasi cha wengine kuona waziwazi au tu kuwapuuzia maendeleo ya wengine
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya Kizimkazi kinatoa matibabu na chakula bure

    Mama yangu ni mzanzibari baada ya kuiona hii post nikamuonyesha akasema " madaktari wa kizanzibari si madaktari, hamna lolote" 😁😁😁 na akaonelea aje kufanya matibabu ya kulipia huku Tanzania Bara.
  3. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuma salaam kwa Wajumbe

    Wajumbe tuendelee na moyo ule ule " wajumbe siyo watu😂😂😂"
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kusubiri Basi la Mwendokasi kituoni dk 60 - 120 ni kero kubwa na inapoteza maana ya mwendokasi

    Tanzania si wa kuendeleza mambo ya maendeleo kama haya, soon inakufa
  5. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Nimechoka na ombi la ahirisho mara kwa mara, niko gerezani leo siku ya 97

    Kijana una fikra duni mnoooo, 👎👎👎
  6. A

    JamiiForums Tanzania Shule za vipaji maalumu nchini

    Mmmhhhh kwa kweli , maana ana kipaji!!!😂
  7. A

    JamiiForums Tanzania Shule za vipaji maalumu nchini

    😂😂😂His comment is in a wrong setting.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Shule za vipaji maalumu nchini

    😂😂😂 Tumuulize imeanza lini, watu wanashindwa kutofautisha boarding schools, technical school, na special schools.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Shule za vipaji maalumu nchini

    Yeah, zisiitwe tu special schools maana hamna maana.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Shule za vipaji maalumu nchini

    Tangu nikiwa mtoto wa daasa la tano nimekuwa nikisikia uwepo wa shule za vipaji maalumu yaani kwa wanafunzi wanaodhaniwa kuwa na upeo mkubwa wa akili, binafsi Mungu alinijaalia kusoma mojaya shule hizo mkoani Morogoro{Mzumbe} na kidato cha tano na sita (kibaha sec) , na kwa sasa nipo chuo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

    😂😂😂Kuna namna VVM hawana akili timamu
  12. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

    Ufinyu wa akili na udumavu wa fikra yakinifu bado ni tatizo kubwa kwa wanasiasa baadhi ya mashabiki zao wapuuzi kama huyu, kashapewa t-shirt akili imebaki sifuri afu ni mwanaume kiongozi wa familia😂😂
  13. A

    JamiiForums Tanzania UFUTWAJI WA BAADHI YA SHAHADA VYUONI.

    Hivi karibuni katika kuanza kwa mchakato wa udahili wa wanafunzi wa shahada mbalimbali katika Chuo kikuu cha sokoine( SUA) kumekuwa na mabadiliko kidogo ya uondoaji na uunganishwaji wabaadhi ya programu za shahada mbalimbali kama ifuatavyo 1. Shahada ya sayansi ya usimamizi wa malisho yaani...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DCEA: Wahalifu wa Dawa za Kulevya wameanza kutumia maiti kubeba dawa hizo

    Vipi wale watuhumiwa wa utekaji?? Au wenyewe hawakosei??
Back
Top Bottom