Recent content by ARIUS MZUSHI

  1. A

    Kama Nairobi wamesema wametoa risasi nane kwa Lissu, lengo la madaktari wa Dodoma kutoa tano ni nini?

    Mengine tumwachie Mungu, mengine tuviachie vyombo husika vya uchunguzi.
  2. A

    Ofisi ya Bunge yakanusha tuhuma mbalimbali zilizoelekezwa kwake, ikiwemo kwamba linaendeshwa kibabe

    Natoa agizo kwako spika washughulikie wabunge wanaoropoka bungeni na wakitoka huku nitawashughulikia kwa kutumia vyombo vya dola.
  3. A

    Ubabaishaji wa CHADEMA

    Hawa jamaa walisema mengi sana ambayo nadhani yalikuwa mazuri ila sijui wakati huo CCM walikuwa wanasema nini. Natamani kufahamu hilo. Hata hivyo mtu mwenye akili nzuri atagundua kuwa ugomvi mkubwa kati ya CHADEMA na serikali ni namna ya kushughulikia hayo wanayoyaibua sio kwamba serikali...
  4. A

    Udikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka Ukweli!. Dawa ya Uongo ni Ukweli.

    Lissu kajimaliza kwa kusema ukweli au kwa kupigwa risasi?
  5. A

    Mbowe: Hadi sasa zaidi ya Sh. Milioni 100 zimeshatumika kumtibia Lissu. Dereva anaendelea na huduma ya kisaikolojia...

    Wanatafuta namna ya kulipooza jambo hili na kulifanya kuwa limesababishwa na CHADEMA wenyewe wakati dunia nzima inafahamu kinachoendelea nchini.
  6. A

    Mbowe anapoitangazia Dunia kuwa Tanzania si mahali Salama ana maana gani?

    sasa wewe unaona ni mahali salama hapa??
  7. A

    Rais Magufuli anataka wapinzani washugulikiwe kwa kuropokaropoka, anarudia yale yale ya Mkapa

    Duuuu! Wapinzani wanateteaje maslahi yao hapa. Mbona mamlaka yote hadi ya kuingia mikataba feki ni ya CCM???????????????????????
  8. A

    Salum Mwalimu: Hakuna raia anayeweza kumdhuru Lissu nje ya uwanja wa siasa, CCM na Serikali hili liko wazi

    Zipi hizo mkuu?? Tusitegemee kwenda mbinguni na zigo la unafiki mgongoni
  9. A

    Mchango wa Kumsaidia Tundu Lissu Matibabu Nje ya Nchi

    Kwa hiyo kapigwa ili chama kibebe mzigo wa matibabu au una maana gani kusema habari za chama hapa??
  10. A

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Kimetoa tamko na kulaani Jaribio lililoshindwa la kumuua Mheshimiwa Tundu Lissu

    Asanteni Sana kwa Tamko lenye nia ya kujibaraguza. Tukumbuke Mbingu hutema wanafiki wote
  11. A

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Kwani na wewe ni GT au member wa kawaida humu??
  12. A

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Mbona jambo lipo wazi tu mkuu wangu, au usichojua hapa ni nini?
  13. A

    Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe ashikiliwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar kwa madai ya utapeli

    Huyu atakuwa anatuhumiwa kwa kukosa uzalendo kwa vile kamuunga mko TL
  14. A

    Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

    Hao wanaomkubali wasifikiri tutawakatalia endapo watataka Magufuli awe Rais wa nchi yao.
Back
Top Bottom