LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 8,725
- 13,964
Bwana mkubwa ambae mizizi yake ni mirefu zaidi alisha tuambia yeye ndie alizuia bunge kuwa live. Sasa kwanini msikubali mnaingiliwa na mihimili mingine?? Ukiwa muongo weka kumbukumbuSwali moja: Kuna kanuni inayompa mamlaka Spika kumfungia mbunge asiingie bungeni mwaka mmoja?