Recent content by AridityIndex

  1. A

    Haya ndio makabila 10 yenye uwakilishi mkubwa kiuchumi

    Yaani sisi tumetoa President, first Lady and Pm bado unatuchukulia poa basi sawa.
  2. A

    Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

    Unamwambia yeye apambanie maisha ila wakati anapambania anatozwa kodi halafu hiyo kodi inawanemeesha watoto wa wengine aisee hii haiko Sawa unaonaje
  3. A

    Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

    Kama nchi unadhani kuwaingiza vijana hawa wa miaka 15 hadi 30 kwenye kazi ya uboda boda itaisaidia nchi kupiga hatua
  4. A

    LINDI: Wanawake wagalagala chini kwa ishara ya upendo kwa Rais wa Jamhuri ya muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan

    Huna maarifa ndiyo maana wenzako tulishawahi pigania Gesi kwa kuleta migomo na korosho pia tukaishia kupigwa tu wewe sijuwi ulitusaidia nini? Ngoja tujaribu kuwa wapenzi wema kwa watawala wa kama mfanyavyo wenzetu labla tutajaaliwa kidogo. HAAAA, HAAAA
  5. A

  6. A

  7. A

  8. A

  9. A

  10. A

  11. A

    Maini ya mnyama ni matamu sana lakini...

    Simple logic kama kazi ya maini mwilini ni kuchuja sumu kwenye vyakula, basi ukila maini yenye sumu nayo si yanakuwa chakula, hivyo basi maini yako yataichuja tu hiyo sumu.
  12. A

    Rais Samia amerithi nchi iliyofilisika kifedha na kiuchumi

    Sasa wewe mpuuzi unashindwa nini kuelewa kuwa falsafa ya Uncle Magu ilikuwa ya kutumia alichokikuta tu na kujizolea Sina hebu Taja mkamkati wake wowote wa uzalishaji? Afadhali wenzake walijaribu kilimo kwanza, mkurabita, mikopo ya wajasiriamali, big results now nk yeye sisi matajiri huo utajiri...
  13. A

    Yanayoendelea Ngorongoro yasipodhibitiwa yaweza kuzua maafa

    Nyie watu mnapenda kujikweza sana hivi mlipokua mkishangilia Wana kusini kupolwa ile genius na mkatuita wabinafsi mlikuwa mkiwaza nini. Hallow muhame huko kwa manufaa ya taifa Zima hao wanyama ni wetu sote why mnawasumbua pisheni uwekezaji utalilipa taifa hili mara dufu taifa hili kuliko ninyi...
  14. A

    Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

    Hata ninyi kwa mwendo huu wa sasa wa kuadimika kwa ajira serikalini mtaanza kujiongeza. Mtagundua kuwa unachohitaji sana ni kumjua Mungu na maarifa kidogo ya kidunia. Ambayo hata wewe unaweza mpa mwanao akapata maendeleo na wala si lazima kushinda na Yale mavitabu ya kina Lambert, Antickson etc...
  15. A

    Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

    Hata ukijijengea kanyumba kako tu siku moja utakuta watu wameizunguka wengine wanakosoa na wengine wanasifia, yaani tuna uhodari wa ajabu.
Back
Top Bottom