Recent content by ariana grande

  1. A

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza Kuongea Kiingereza mbele ya Kadamnasi kidogo nizimie

    yani kiingereza chenyewe chakuunga unga na mbele ya watu wengi ndo kinapotea kabisa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumelala, tuapply hizi scholarships

    na ugumu mwingine ni lugha wanazofundishia .baadhi ya nchi kama algeria wanatumia french na arabic. kuna rafiki yangu alipata scholarship lakini ilimbidi asome french na arabic for one year
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nishaurini kozi ya kusoma tafadhari

    thank 4 the advice
  4. A

    JamiiForums Tanzania knock knock

    hey everyone its ariana hv a goodnite
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nishaurini kozi ya kusoma tafadhari

    mie nilisoma cbn nikapata three ya 12 , chem d , bios c , na nutrition b , nataka kuenda kusoma food science and techno , naomba ushauri kama course hii ni nzuri au kama kuna course nyingine bora nitakayo weza kusoma kwa ufaulu wangu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu mnaofanya application za vyuo kuweni makini na guidebook ya tcu

    je mie mwenye three ya 12 cbn , nimepata d chem, c bios na b nutrition naweza soma food science and techno sua
Back
Top Bottom