Watanzania tumelala, tuapply hizi scholarships

Watanzania tumelala, tuapply hizi scholarships

Hamna kitu huwa nachukia kwenye hizo requirements kama "English proficiency" !!!!
 
Sio kwamba watanzania tumelala. Tatizo mud a zinaotoka na requirements zake ndio tatizo. eg umri,
 
na ugumu mwingine ni lugha wanazofundishia .baadhi ya nchi kama algeria wanatumia french na arabic. kuna rafiki yangu alipata scholarship lakini ilimbidi asome french na arabic for one year
 
Back
Top Bottom