Recent content by aptoso

  1. aptoso

    Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

    Hata kama inamapungufu anarudi bungeni kama mbunge kupitia chama gani hiyo ndo hoja aliondoka Chadema na kujiunga na Ccm sasa anaingia bungeni kwa maelekezo ya spika sio kwa kuchaguliwa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. aptoso

    Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

    Spika anaendesha bunge kwa maelekezo hatari sana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. aptoso

    GE2020 Upinzani twende na Membe 2020!

    Mimi naamini mzee baba
  4. aptoso

    Askofu Kakobe: Ukimgusa mmoja umetugusa wote!

    Gwajima asisubiri huruma ya watu apambane na hali yake anatumia nguvu kubwa sana kutaka kuzima huu msala
  5. aptoso

    Magufuli aokoa maisha ya Lemutuz, ilibaki dakika 30 apoteze maisha

    Huyu hana kigezo cha kujadiliwa
  6. aptoso

    Makonda Mara ya Pili Unatajwa Kumfanyia Hila Gwajima, Why?

    Kwani makonda alimtuma azini apambane na hali yake
  7. aptoso

    Makonda Mara ya Pili Unatajwa Kumfanyia Hila Gwajima, Why?

    Bashite anatingisha Nchi mtoto mwenye nyumba
  8. aptoso

    Askofu Kakobe: Ukimgusa mmoja umetugusa wote!

    Kwa nini wanatumia nguvu kubwa sana kutuaminisha kuwa Gwajima hausiki na ile video embu watuache
  9. aptoso

    Askofu Kakobe: Ukimgusa mmoja umetugusa wote!

    Gwajima ile video ni yake asijifiche kwenye shamba la karanga
  10. aptoso

    Magufuli aokoa maisha ya Lemutuz, ilibaki dakika 30 apoteze maisha

    Kweli mzeee baba ila wanamsifia mpk mwenywe anaogopa
  11. aptoso

    Magufuli aokoa maisha ya Lemutuz, ilibaki dakika 30 apoteze maisha

    Huu ni ujingaa uliyo pitiliza kumfananisha kiumbe na Mungu mnamsifia mtu mpk mnakufuru
Back
Top Bottom