Ghajin,
Bajrang bhaijan,
Murder 3,
Baahubali,
Secrete superstar,
Dhoom 3,
Race,
Like stars on the earth,
Tiger zinda hai,
Ek tha tiger,
Kal ho na hoo,
Ittefaq,
Aashiq.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, acha niende hospital nikathibitishe mwenye nahisi kitu kama hicho ila ni moja ya ugonjwa ninao uogopa kila niskiapo mtu analalamika vidonda vya tumbo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni week sasa nasumbuliwa na tumbo, hapo awali nilidhani ni tumbo la kawaida kiukweli sina kawaida ya kwenda kupima, nilimeza Flagly sikupata nafuu, kwakuwa napenda kula kachumbari nikasema yawezekana typhoid kama kawaida nikatufata Ciproflaxin bado patupu, nikaona nitafute dawa za minyoo kwakuwa...
Natafuta single room ambayo ipo standard
maeneo ya Moshono~Arusha kisiwe mbali na barabara kuu na kisiwe uswahilini
Kiwe na umeme na Maji
Budget yangu
Mwenye nacho Karibu Pm na picha.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.