Recent content by Apex

  1. A

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015: Mh.Lissu Mwanaharakati na ICON ya Mageuzi ya Kisiasa Tanzania

    to be honest lissu anajua na hajawahi kuniangusha daima,awe bungeni,press conference au mkutanoni,,toka enzi zile miaka ya 2007-2008 natokea kumfahamu lissu amebaki kuwa bendera imara ya utambulisho wa cdm tunayoipenda...viva lissu viva cdm kamanda tuko pamoja na mwakani Mungu mkubwa tutakuja...
  2. A

    Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

    mbunge wa ukerewe salvatory machemli (cdm) anapumlia mashine nami nitachanga karata yangu kwa utashi,nidhamu na uzalendo ili kulinda heshima ya chama changu ndani ya jimbo hili
  3. A

    Warioba tafadhali fanya maamuzi magumu

    warioba abaki ccm ili hoja zake ziwe na uzito pia iwe alama ya kutokimbia challenges bali kukabiliana nazo..mzee akiondoka ccm itakuwa stepping stop kupinga maoni yake kwa kushabilishwa na kivuli cha upinzani...viva warioba
  4. A

    Shibuda: Naiongojea kamati kuu ya chadema kwa hamu

    shibuda ni mwanasiasa ambae chama changu mwanzoni kabisa alionyesha kuwa na mwenendo usio endana na matakwa ya chama,lkn alichukuliea kama mwimba taarabu au mbwa asie ng'ata.sasa na yeye kajisahau na kudhani yeye ndo kitinda mimba kila kitu sawa tu kwa mama,atakoma ubishi subirini dawa yake iyo...
  5. A

    ni kijana ana tatizo la hernia:

    hernia na ni moja ya vijana wanaopanda mlima kilimanjaro, nimekutana nae akaniomba ushauri kwani kuna wangine wanamwambia ana hatari ya kifo,wengine anadai walifikia hatua ya kutaka aachane na mpango wake huo wa kuendelea na shughuli zake za kubeba mizigo za watalii kupandisha mlima...
  6. A

    Nalaani tamko la mwanafunzi wa DUCE katika vyombo vya habari

    Katika kipindi cha hotmix jioni hii mwanafunzi (dada) ambae amejitambulisha kama mwakilishi wa wanafunzi wa elimu ya juu Dar es salaam amesema kuwa msimamo wa wanafunzi wa elimu ya juu ni serikali mbili kitu ambacho ni uongo mkubwa na naweza sema anatumika kisiasa. Amerusha makombora ya wazi...
  7. A

    Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

    civ-E,geo-E,hist-E,chem-C,bio-C,kisw-C,eng-C,math-D,phy-D. div IV points 32. kwa mimi niliona kama ataendelea adv lakini utata ni uko kwenye div au wadau mnasemaje?
  8. A

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    kiborloni kimeeleweka peoples...............
  9. A

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    chadema ina kata 12 mpaka sasa . kwenye 27 zinabaki 15 zenye ushindani..MUNGU wabariki watanzania kwenye kata zilizobaki washukiwe na roho wa utambuzi ili wajue hata2% ya uzembe,ujinga,ufisadi, na uthamani ya maisha yao uliochezewa na maccm kwa mda ya miaka 53 ya uhuru.
  10. A

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    dr slaa
  11. A

    Yaliyojiri: Sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar

    ndugu members mh kikwete yuko kwenye sherehe tajwa hapo juu na kwa kustahajabu sana wageni wote (marais)wamepewa nafasi ya kuwasalimia wananchi lkn jk kapotezewa. je ndo kanuni zilivyo au ndo katiba ya zanzibar inavyosema. pls majibu
  12. A

    Ushauri tecno m3,L3,p3 na S3

    Jamani kwa wenye uelewa na aina hizo za simu,ipi simu nzuri kati ya hizo na kwa nini? Pia bei ikoje sokoni? Karibuni sana.
  13. A

    [MUCCoBS],Waliobadili programme/couse kukosa mkopo chuo cha MUCCoBS ,

    mkuu ntakusaidia kazi,naona jamaa anazingua,nimefuatilia kwa kumpigia simu hajapokea,sijui shida iko wapi!!
  14. A

    Mwanafunzi MUCCOBS Apoteza maisha kwa kipigo

    mpaka sasa sababu hazijawekwa wazi na mbaya zaidi marehemu hakuweza hata kusema neno lolote kabla ya mauti hayo. Anyway nitaendelea kuja hapa kwa taarifa zaidi kama nikizipata..
Back
Top Bottom