Recent content by APARATIE

  1. APARATIE

    Tips: How to start a company

    Idear iko vizuri, soma company act 2002, utaona kila kitu, japo umegusia suala la MOU na Articles of association na wewe umeweka kama kitu kimoja sio kweli ni vitu viwli vyenye umhimu tofauti:- MUO, itaeleza jina la kampuni, malengo, uwezo(capital), nk. wakati articles of association itaeleza...
  2. APARATIE

    Pombe Magufuli aitikisa Makambako,Mafinga na Mufindi

    Eti katikisa makambako, huku mnaweka picha za mafinga, leo mafinga imegeuka makambako, mbona hamsemi alichofanyiwa makambako?
  3. APARATIE

    Makambako wazindua uwanja wa salum mwalim

    Leo katika viwanja vya shule ya msingi Mwembetogwa, wananchi wa makamnako na viunga vyake walijitokeza kuwalaki viongozi wao ngazi ya taifa. Akihutubia mkutano huo mh. JOSHUA NASSARI MP, amewataka wananchi kuhakikisha wanaifuta ccm oct, 25. kwa upande wake naibu katibu mkuu, kwanza amesikitishwa...
  4. APARATIE

    Mahakama Kuu kanda ya Dodoma imemfutia udhamini Mwenyekiti wa Wafanyabiashara

    hata hivyo tunasema minja kwanza biashara baadaye
  5. APARATIE

    Mahakama Kuu kanda ya Dodoma imemfutia udhamini Mwenyekiti wa Wafanyabiashara

    Katika viunga vya mahakama hiyo wafanyabiashara kutoka sehemu mbalimbali walikusanyika kusilikiliza kesi yao, iliyomkabiri mwenyekiti dhidi ya jamhuri. Akiwasilisha hoja wakili wa serikali aliiambia mahakama kwamba mshtakiwa amevunja masharti ya dhamana ya kutofanya vikao pindi shauri...
  6. APARATIE

    Full Text: Maoni ya Msemaji wa Kambi ya Upinzani kuhusu Muswada wa Sheria ya usimamizi wa maafa

    Tumefika mahala ambapo hakuna ushauri unaosikilizwa na watawala wetu, hasa wakati ambapo nchi imepoteza mwelekeo na haipo tayari kusikiliza ushauri wowote, vyovyote iwavyo! serikali inapounda wakala wa kusimamia hari ya hatari na majanga ni sawa na kukwepa dhamana ya kuwasimamia wananchi na...
  7. APARATIE

    Full Text: Maoni ya Msemaji wa Kambi ya Upinzani kuhusu Muswada wa Sheria ya usimamizi wa maafa

    Akiwasilisha maoni ya kambi rasmi ya upinzani bungeni, mh. tundu lissu ameweka wazi juu ya utitiri wa kamati za kushughurikia maafa ambazo zimeshindwa pamoja na kuwa nchi ya ofisi ya waziri mkuu, pia ameweka tahadhari ya kumnyang'anya madaraka rais na mamlaka ya bunge kushughurikia maafa hivyo...
  8. APARATIE

    Tahadhari kwa mnaopenda kununua vitu vinavyotembezwa na machinga kwenye baa

    Hakuna kinachosikitisha hapo, alitaka shati kapewa, pasi kapewa na vipi kufika nyumbani angekuta karatasi badala ya shati na jiwe badala ya pasi? Lawama zingine sio nzuri kabisa
  9. APARATIE

    John Mnyika na Salim Mwalim kutikisa miji ya Makambako, Njombe

    Katika viwanja vya polisi makambako leo mamia kwa maelfu ya wananchi wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza mh. John mnyika, alieambatana na naibu katibu mkuu zanzbar ndg Salum mwalimu, viongozi wa mabalza kitaifa,kanda,mkoa,wilaya, jimbo,kata,tawi,mtaa/Msingi.akihutubia wananchi hao amelaani vikali...
  10. APARATIE

    Taarifa ya mjumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Wilaya ya Njombe juu ya rasimu ya tatu

    Nashukuru, kiongozi ni heri tukasema kweli taifa letu lisonge mbele, huenda tutaweza punguza vifo vya watanzania wanaopoteza maisha kwa kukosa huduma za afya, ajari za barabarani kwa ubovu wa miundombinu, na elimu duni kwa watoto wetu, pesa zote zinatumika kuhudumia viongozi wa kisiasa...
  11. APARATIE

    Taarifa ya mjumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Wilaya ya Njombe juu ya rasimu ya tatu

    Tume ya warioba ilipendekeza vyanzo vitano vya mapato ya serikali ya muungano, wakapiga makelele, serikali itapinduliwa coz haitaweza lipa mishahara majeshi, na hiyo yao haina ata chanzo kimoja cha mapato
  12. APARATIE

    Taarifa ya mjumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Wilaya ya Njombe juu ya rasimu ya tatu

    TAARIFA YA MJUMBE WA MKUTANO MKUU CHADEMA WILAYA YA NJOMBE KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA RASIMU YA TATU YA BMK, KAMA ILIVYOWASILISHWA NA ANDREA CHENGE. Ndg, waandishi wa habari, itakumbukwa kwamba mnamo tar 24 sept 2014, wajumbe wa bunge maalumu walitusomea rasimu yao ya tatu kupitia kwa...
  13. APARATIE

    Jumuiya ya wasomi njombe wajadili tatizo la ajira kwa vijana

    Miongoni mwa wasomi wa njombe
  14. APARATIE

    Jumuiya ya wasomi njombe wajadili tatizo la ajira kwa vijana

    mwezi wa kumi, ila pembejeo ziko juu sana, masoko ya viazi sio mazuri coz gharama za uzalishaji ni kubwa
  15. APARATIE

    Jumuiya ya wasomi njombe wajadili tatizo la ajira kwa vijana

    inapendeza sana, wasomi wanapo kutana na kujadili mambo yao
Back
Top Bottom