Jamani, kumbukeni majukumu ya Majeshi yetu (Polisi, Magereza, Jeshi la wananchi n.k) kuhusu kutekwa kwa basi hilo ni jukumu la Jeshi la Polisi, Jeshi la Wananchi wa Tanzania haliwezi kukurupuka na kwenda kuwasaka majambazi ambao Polisi wanaweza kuwamudu, chamsingi ni jeshi la polisi lijipange na...