Recent content by anun

  1. A

    SUA mtatuua, mbona hamtupi boom?

    Mum wamepewa kitambo poleni sua
  2. A

    Sijachaguliwa na nina GPA ya 4.0

    [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawajitambui
  3. A

    Sijachaguliwa na nina GPA ya 4.0

    Usijidanganye et elim ya diploma ni simple au mtu kabebwa chuo sio kwel hiyo ni mtu ka fight kufaulu halafu no research no right to speak are sure all diploma holders have meet requirement to apply degree? be careful with your words
  4. A

    Sijachaguliwa na nina GPA ya 4.0

    Ukiwa mtu msomi huwez kujibu ujinga kama huo mtu anaejitambua ni msomi halafu msione watu wanapaform vizur mkawadharau kisa diploma holder achen ujinga embu jitambuen kama huna cha kucomment kaa kimya soma post then tulia
  5. A

    Sijachaguliwa na nina GPA ya 4.0

    Kufel form four sio kwamba mtu hana akili hyo ni mipango ya mungu tu sio lazma uende advance ndo uonekane una akili
  6. A

    Sijachaguliwa na nina GPA ya 4.0

    Kufel form four sio kwamba mtu hana akil
  7. A

    Sijachaguliwa na nina GPA ya 4.0

    Dah waliokaribu na office za nacte wakatusaidie kuuliza wengne tupo mkoa
  8. A

    Sijachaguliwa na nina GPA ya 4.0

    Yan nacte cjui wana matatzo gan coz mm nina GPA 4.8 then wananania y don't have minimum requirements
  9. A

    WANACHUO OFFER...and other..LAPTOP BEI CHEE

    Shi ngap za kibongo?
  10. A

    Hatimaye bodi ya mikopo waanza kuwafungukia form six kwa kutoa majina ya waliokosea kujaza fomu

    Sasa basi wawafungulie na diploma walioomba second selection wenye gpa ya 3.0 coz wao ndo waliwafanya wasiombe
  11. A

    Ushauri kwa TCU na NACTE

    Ila wafikilie na loan board pia watoe muda mrefu
Back
Top Bottom