Recent content by antoniozagarino

  1. A

    JamiiForums Tanzania DRC: Wanajeshi walinda amani wa Tanzania wajeruhiwa katika mapigano na M23

    Hakuna chochote...Wale wanapigwa na Tanzania kwa siku 3 tu, Kwanza hana support ya Wananchi walio weeengi ambao ni 80% Wahutu, only 20% tutsi.,Pili Kagame anatawala kwa Mkono wa Chuma, Mema ya nchi yanaliwa na Jeshi na elite wa kitutsi,Raia Maskini weeengi wanaogopa kusema,na hakuna Uhuru wa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee adai kuwa na Tsh Bilioni 10 kwenye akaunti yake ya Benki

    Bilionishirini
  3. A

    JamiiForums Tanzania Dar: Tozo za Daraja la Nyerere Kigamboni zimeshuka

    Kwakweli NONGWA
  4. A

    JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

    Tena Na UNYAFUZI WA KIMA CHA JUU
  5. A

    JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

    Acha Uwongo,,Chancellor wa Ujerumani alitangaza muda kwamba Hatogombea tena...Russia nu muda tu utasema. USA NA ULAYA Magharibi haijawahi kushindwa,,unajua sababu ni nini?? Vijana kutoka nchi zinazofuata siasa za mkono.wa chuma kama Russia, China,Ulaya mashariki,na hata Uarabuni,,wanapenda...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha Rais Samia

    Acha ushamba na Lugha wewe...Katafute hela, ukiwa na pesa Lugha ni mapambo tu...Wenzako wanakula mema ya nchi, weme umekazana na Lugha ya mkoloni. WATU WEUSI NA KUJIFANYA KUJUA SARUFI NA FASIHI YA KIINGEREZA.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Standard Chartered Bank kufunga operation zake Tanzania

    Sjaelewa,,ma Rc kuwakamua Uber na Standard chatt
  8. A

    JamiiForums Tanzania Muunganiko wa Sukuma Gang na CHADEMA itaigharimu CCM

    Well Said
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wanaomtetea Mrusi dhidi ya uvamizi wake nchini Ukraine, Someni hii

    Acha hizo mambo,,ni makubwa saaana kwa akili yako..jikite na Siasa hizi ndogondogo za pangu pakavu tia mchuzi...Achana na Siasa zinazohitaji akili nyiingi...Ugomvi wa Russia na Ulaya pamoja na USA,ni mambo makubwa kwa kiwango chako cha Siasa za Tz..tafuta wapiga kura Kigoma, uwe Diwani kwanza...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumsikiliza Profesa Mukandala, nakubaliana na CHADEMA kwamba wadai Katiba Mpya "kivyao"

    Daaah,,tena wanajifanya wanajua kila kitu,,hata corona walikuwa wanaijua kuliko Madaktari... Pumbavu kabsaaa
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tawala za kifalme zilikuwa bora kuliko za kidemokrasia

    Saudi Arabia
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la mwaka mmoja wa kifo cha Magufuli, Kanisa Katoliki linapaswa kuona aibu

    Mawazo ya watu Maskini,wenye hasira ya waliofanikiwa. Tabia hiyo ni UGONJWA WA AKILI
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haikuandaa kumbukumbu ya Hayati Magufuli?

    Kivuli chake KIZITO. WANAKIOGOPA
Back
Top Bottom