Recent content by antonio banderas

  1. A

    Tukiwa outing anageuka bubu

    Hapana mama, huyu atakua hanipendi tu Wewe mtu gani muda wote Wa outing ana chat tu anakwambia ongea wewe Iwe ni story za mahaba ni hivyo hivyo nikiamua kubadilisha mada inakua hivyo hivyo Na ni kila outing
  2. A

    Tukiwa outing anageuka bubu

    Wakuu, Ninakwazwa na tabia ya binti mmoja hivi ambae nimempa heshima kubwa ya kumtoa outing sehemu ya daraja la juu ambapo hata mimi huwa siendi. Huyu binti yupo kwenye middle-class anaishi na wazazi wake na ni mhitimu wa chuo. Mimi ni mjasiriamali nina duka la jumla huku uswahilini na pia...
  3. A

    Hausegirl katushika pabaya

    Mwanaidi wamemuua nani? Ni masahibu tu ya dunia hayo
  4. A

    Amepata stroke baada ya kunifuma na mke wake roho inaniuma sana

    Wakuu, Nimepanga nyumba moja hivi yenye wapangaji watatu, mimi, familia moja hivi na huyu binti tuliefumaniwa nae. Huyu binti kwao Rwanda ni mtusi mumewe ni dereva wa Malori yaendayo Rwanda na alimpata huko huko Kigali wakafunga ndoa na akaja kumpangia chumba hapo tunapoishi. Jamaa ana miaka...
Back
Top Bottom