Vyuo vyote dar es salaam bado atujaandikishwa na ndo zimebaki siku kadhaa wengine tunafunga tunakoelekea wameshamaliza kuandikishwa sasa inamaana kwetu sisi ndo imetoka hivyo?
Inajulikana kuwa mafanikio ya mtu ni mtu mwenyewe hilo liko sawa. Lakini pia support ni kitu kingine cha maana kwa maana kwamba hata kama utakuwa juhudu kiasi gani ongeza fikra pevu kama akuna support ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu. Tanzania ni nchi yenye rasilimal nyingi lakini kwa nini...
Aina maana yoyote kwa waalimu kukataa, ikiwa tangu awali ndo tabia ya viongozi kuwanyanyasa waalimu, cha kufanya kwa sababu wao wanateketeza pesa ya serikali kwa maswala ya kipuuzi. hivyo basi kama mwalimu nenda ukalipoti shule asubuhi kusibitisha uwepo wako kisha rudi nyumbani ukaendelee na...
Inamaana wanamaanisha barabara lililopo liko chini ya kiwango?
Pia nchi itafaidika vip na mradi huo? au ndo tuseme watavuna kwa miaka kumi kufidisha gharama ya ukarabati wa barabara hiyo?
Tabia ya mtoto inasadifu tabia ya wazazi wake maana mwenye jukumu la malezi ya mtoto ni Baba na Mama yake ikiwa wao watakuwa bize wakamkabizi mfanyakazi wa ndani kulea mtoto basi tabia atakayo kuwa nayo ndo wazazi wake walivyo, kwasababu ameona mabadiliko kwa mwanae na akashindwa kukemea kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.