Duh, hii ni hatari zaidi ya hatari. Eti pombe na TV it's not true watafute lingine kabisa, ni bora tu wakawa wa kweli tu kwamba hawana hela ya kuwakopesha wanafunzi
Bwana upo sawa wapuuzi ndio wanakuwa wazito kukuelewa. Maana hata mtu akitenda makosa, mungu humuandika kwenye kitabu cha hukumu ya milele. Lakini tu anapotubu na kumrejea mungu wa kweli, mungu huyuhuyu humsamehe na kumfuta katika kitabu cha hukumu, na kumuandika katika kitabu cha watakatifu...
Huyu raisi hana nia mbaya hata kidogo na hili taifa letu, ana nia nzuri tu ya kuifanya serikali iwe na kauli. Lakini kuna baadhi ya mambo mengine anayoyawekea msimamo, ambao msimamo huo ukiutazama jujuu utaona ni mzuri lakini kiundani ni wa makosa. Kwa mfano swala la demokrasia na vyama vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.