Lawkey huna maana wakatolik ndo wamewaambua walokole wanene kwa lugha au ukatoliki na ulokole vinauhusiano acha habar zako za kilocal mnafik wewe ambae toka umeanza kuisoma hyo biblia haijawah kukubadilisha.
Msabato hana upendo na dini yeyote ile ndo maana ukisoma kwenye chuo chao wanawalazimisha watu wote kusal sabato na kukashfu madheheb mengne wakiwa wanahubir.mi si washangai kwa hlo.huwa wanaona wakombinguni. Niher uish na mtu ambae hajui mlango wakanisa lolote wala msikit kuliko msabato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.