Recent content by Anthony Merinyo

  1. Anthony Merinyo

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Juzi Ijumaa nilinunua bundle ya 2GB ya wiki lakini nilpojaribu kutumia internet ilishindikana. Baada ya nusu saa nikaangalia salio. Chakushangaza ni kukuta sina salio! Sikufanya matumizi yoyote kwani Internet ilikuwa haipatikani. Bundle langu limeenda wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Anthony Merinyo

    GE2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

    Amehaidiwa kugombea na kushinda kwa gharama yoyote ile! Hii ndiyo demokrasia ya awamu ya tano. Tutashuhudia mengi awamu hii.
  3. Anthony Merinyo

    Serikali: Pato la Taifa limekua kwa 6.8% ikilinganishwa na 7.7% ya mwaka jana. Uchumi haujaporomoka!

    Mapato sekta ya kipolisi, traffic ndio inaongoza kwa ukuaji
  4. Anthony Merinyo

    Ina maana Kikwete alikuwa hana macho au na yeye alikuwa mpiga dili?

    Chukua chako mapema ndio ilikuwa kauli mbiu yao...
  5. Anthony Merinyo

    Propaganda za CCM kugeuka chama cha Kikanda zinazidi kupamba moto

    Hivi na mzee slowly slowly ni wa wapi vile?
  6. Anthony Merinyo

    Propaganda za CCM kugeuka chama cha Kikanda zinazidi kupamba moto

    Hata mwenyekiti wa Wazazi anayemaliza muda wake kutoka huko huko!
  7. Anthony Merinyo

    Jerry Muro: Utoto huu wa mbunge Nassari na Lema, Watanzania tuwe wakali. Tutapoteza taifa

    Issue hapa si technology iliyotumika kurekodi, bali facts zinazooneshwa.
  8. Anthony Merinyo

    Macho ya Wanaume

    Hivi hawa wanawake wanajisikiaje wanapovaa nguo kama hizi? Kweli wanakuwa wanajiheshimu ipasavyo?
  9. Anthony Merinyo

    Mwigulu: Nilitegemea mawakili wakubwa na wasomi kama Lissu wajitokeze na kuanza kuwashitaki ACACIA

    Awashitaki kwa sheria zipi? Wakati walipewa ulaji na sheria zenu za kifisadi? Fuatilia mambo ya kibiti haya ya acacia siyo saizi yako.
  10. Anthony Merinyo

    Kutekwa kwa Roma: Wasanii na familia ya Roma wafanya mkutano na wanahabari

    Hivi waziri anayeshughulika na usalama wa raia yupo kweli? Na mwakyembe pia kimyaaa!
Back
Top Bottom