bodi ya mikopo ya vyuo vikuu leo imetoa majina wa wanafunzi ambao waliomba mkopo lkn kukawa na makosa yaliyojitokeza wakati wanaomba na hivyo kutoa muda wa siku kadhaa ili kufanya marekebisho.
kwa upande wangu nimekuta wameniambia hakuna guarantor ID , naombeni msaada wenu namna ya kurekebisha...
Duh! Mbona XXL kwisha habari yake. 7babu hawa jamaa Baba Johnniiiiii na B12 walikuwa wanaipamba kinoumer noumer. Dj Zero huwezi kuchezesha MIXER kwa mzuka zaidi pasipo haya majembe. Kila la kheri popote muendako Mamen Mchomvu na B Twangalala.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.