Recent content by Anselim

  1. Anselim

    JamiiForums Tanzania Faida/Changamoto za biashara ya Mabasi

    tukirudi kwenye mada nadhani hii biashara inafaida sana tu,sababu tunaona kampuni kama super feo abood new force kilimajaro express adventure tahmeed nk. zinazidi kukua ina maana kusingekuwa na faida hizi kampuni zisingeendelea pia nadhani kuwa na management nzuri pia inasaidia pamoja na...
  2. Anselim

    JamiiForums Tanzania Faida/Changamoto za biashara ya Mabasi

    Hii biashara bhana, kuna kampuni kama dar express miaka ya nyuma hata kama gari lilikuwa lina abiria 9 gari lilikuwa linafanya safari hivyohivyo cha ajabu siku si nyingi nilikuwa natokea rombo na dar express tulivyofika njiapanda gari lilikuwa na abiria kama 21 hivi,ikabidi tufaulishiwe kwenye...
  3. Anselim

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusiana na biashara, masoko na mauzo

    m mkuu, ushauri wangu kama hiyo pesa hauna haraka nayo sana ni bora ununue gunia zako za mpunga then uzihifadhi uje kuuza kipindi bei ipo juu kidogo
  4. Anselim

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusiana na biashara, masoko na mauzo

    katika harakati zangu nilipita hapo tcc mwaka juzi wao wanasambaza sigara kwa agents wao waliopo sehemu mbalimbali hivyo na kuwa agent mpaka uwe na mtaji usiopungua milioni10....hapo inabidi akanunue kwa agent aliye karibu mfano kigamboni lazima kutakuwa na agent. ni hayo mkuu
  5. Anselim

    JamiiForums Tanzania Fahamu utajiri kwenye biashara ya fedha za kigeni (FOREX TRADING)

    [emoji106][emoji106]
  6. Anselim

    JamiiForums Tanzania Niulize kuhusu mashine za ujasiriamali na upatikanaji wake

    Thread imetulia sana hii. [emoji817] Wajasiriamali wote tukutane hapa.
  7. Anselim

    JamiiForums Tanzania Hiview international co ltd,wauzaji wa matairi aina ya roadcruza,goodtyre na goldtyre.

    Kuwa Mwepesi kuweka BEI kama ulivyokuwa mwepesi kuweka picha, Mkuu.
  8. Anselim

    JamiiForums Tanzania Nanunua korosho, karanga, ufuta

    Kuna jamaa nayeye anatangaza biashara lakini kwenye bei anakwambia NIFUATE PM sasa sijui ili iweje! MKUU,kwani huko pm kuna nini?
  9. Anselim

    JamiiForums Tanzania Mashine ya Kufulia inauzwa, Samsung Washing Machine.

    Nimependa vijimaneno vyako vya nyongeza mkuu! [emoji16][emoji16]
  10. Anselim

    JamiiForums Tanzania Dawa za kuua wadudu wa mazao nyingi feki

    Kuna ukweli hapa.
  11. Anselim

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    2:07
  12. Anselim

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu adabu nyumba za kupanga Dar zimenishinda tabia

    Bora ungebaki kusoma comments tu mkuu.
  13. Anselim

    JamiiForums Tanzania Nyani wavamia makazi na kubeba sufuria za chakula kilichopikwa

    [emoji33]....[emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom