Habari wana JF, ni matumaini yangu wote mko sawa, nadhani hii ni mara ya kwanza kupost hapa ubaoni ninaombeni msaada maana nimeshindwa hata kulala yaani.
Labda nielezee hivi, sisi ni wakristo, mzee alioa na kuzaa watoto 3 na bi mkubwa, huyu mama walichuma mali nyingi sana (nyumba, magari...