Recent content by anoldmedia

  1. anoldmedia

    CAFCL 24/25 YANGA 🆚️ CBE

    Ligi Ya mabingwa Barani Africa kuendelea Leo Tena ambapo Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano hiyo YANGA SC watashuka dimbani majira Ya saa 2 usiku dhidi ya CBE ya Ethiopia. Mkondo wa kwanza ulimalizika kwa Yanga sc kushinda Goli 1 ambalo lilifungwa na Prince Dube⚽️
  2. anoldmedia

    Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani

    WABAKAJI WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI ✊🏽 . Watu wanne wanaotuhumiwa 'kutumwa na afande" kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dares Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka mawili. . Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma...
  3. anoldmedia

    Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

    CAFCL | VITAL'O 0-4 YANGA SC |FT Yanga hii unaifungaje 👀
  4. anoldmedia

    CAFCL | Kikosi Cha Yanga sc

    Hiki ni kikosi kinachoanza dhidi Ya Vital'O ya burundi kwenye Mchezo wa Leo
  5. anoldmedia

    Full Time: Man united 1-0 Fulham fc

    😁😁😁
  6. anoldmedia

    Full Time: Man united 1-0 Fulham fc

    EPL | Man United 1-0 Fulham Fc J. Zirkzee 87' Aya mwenye msimamo wa Epl anipe 😀😀😀
  7. anoldmedia

    Full Time: Man united 1-0 Fulham fc

    Katika Mechi Ya leo umeridhika na kiwango kilichooneshwa na Hizi Timu mbili? Unahisi Manchester hii Ya 2024/25 itakuwa hatari zaidi? Kwa kiwango kilichooneshwa Unawapa asilimia ngapi United za Ubingwa? Vipi kiwango cha Bruno leo? Kimekuridhisha?
  8. anoldmedia

    Full Time: Man united 1-0 Fulham fc

    EPL | Man united 0-0 Fulham Fc Ila bruno 😄
  9. anoldmedia

    Mtoto wa Mbosso kazoea hela

    Mtoto kazoea hela 😄
  10. anoldmedia

    Full Time: Pamba Jiji Fc 0-0 Tanzania Prisons

    Msimamo wa Ligi kuu ya #NBCPremierLeague baada Ya mchezo mmoja wa Leo FT |Pamba Jiji Fc 0-0 Tanzania Prisons
  11. anoldmedia

    Pazia la ligi kuu ya NBC kufunguliwa leo 16 Agost, 2024

    Ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama NBC premier league kuanza kutimua Vumbi hii leo Agosti 16 2024 ambapo mchezo wa kwanza kwa msimu wa 2024/25 unapigwa leo kati Ya Pamba Jiji Fc 🆚️ Tanzania Prisons
  12. anoldmedia

    Afungwa Jela kimakosa, anatakiwa kulipwa bilioni 20

    Nchini Marekani Mfungwa Ambaye Alihukumiwa Kifo Na Kukaa Jela Karibu Miaka 50 Amekutwa Hana Hatia. Glynn Simmons, Mfungwa Aliyehukumiwa Kifo, Amekutwa Hana Hatia Baada Ya Karibu Miaka 50 Jela, Na Imemfanya Kuwa Mfungwa Aliyetumikia Kifungo Cha Muda Mrefu Na Halafu Kukutwa Hana Hatia, Mfungwa...
  13. anoldmedia

    Ateba ni Mnyama, Asaini miwili msimbazi

    Simba SC wamethibitisha kumsajili Mshambuliaji Leonel Ateba kutoka USM Alger kwa mkataba wa miaka miwili
  14. anoldmedia

    Awesu Awesu kuitumikia Simba rasmi

    ➡️ Kmc Fc na Simba Sc zimefikia makubaliano ya uhamisho wa kiungo Awesu Awesu kwa ada ambayo haijawekwa wazi. ✅ Rasmi Awesu Awesu ataitumikia Simba Sc kwa miaka miwil. Klabu ya KMC FC inapenda kuwataarifu wanakinondoni na wadau wa Soka nchini kwamba tumefikia makubaliano ya uhamisho wa...
Back
Top Bottom