Recent content by ANOLD MEDIA

  1. ANOLD MEDIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC kucheza mechi kubwa 2 pre-season Misri

    Klabu ya Simba ikiwa inaelekea kumaliza Pre season yake huko Misri inataraji Kucheza Michezo miwili ya kimataifa ya kirafiki . Simba itacheza na Wadi degla ambayo inashiriki ligi kuu ya Misri kesho tarehe 26 na Mchezo mwingine itacheza na Fs Fassel kutoka Liberia na Fessel ni Bingwa wa Liberia...
  2. ANOLD MEDIA

    JamiiForums Tanzania Naingiza laki nne kwa mwezi kwa biashara ya kuchoma mahindi

    Unaweza kuchukua mzigo wa 50,000 ukatengeneza faida mara mbili, kwahiyo unaweza kutengeneza 100,000 hadi 120,000 na ukija kutoa faida unajikuta na 60,000 faida kwa siku kama mzigo ukiisha lakini" siwezi kukubali (kuajiriwa0 maana nikipiga hesabu kwa mwezi ninauhakika wa kuingiza 400,000 kwa...
  3. ANOLD MEDIA

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, hiki kirusi kweli kama media zinavoripoti?

    JE NI KWELI HIKI NI KIRUSI CHA UKIMWI? KAMA BAADHI MEDIA ZINAPOST INSTAGRAM ZIKISEMA HIKI NI KIRUSI CHA UKIMWI KIKIWA KIMEKUZWA KWENYE ELECTRONIC MICROSCOPE BY ANOLD MEDIA
  4. ANOLD MEDIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakionaje kiwango cha Taifa Stars katika mashindano ya CECAFA kuelekea CHAN 2024?

    Timu ya Taifa ya Tanzania, #TaifaStars, imeonyesha uwezo wake kwa kushinda mechi zake mbili za kirafiki katika michuano ya CECAFA 3 Nations Tournament, ikiwa ni maandalizi ya Michuano ya Afrika ya Wachezaji wa Ndani (#CHAN) 2024 inayotarajiwa kuanza Agosti 2, 2025. Katika mechi ya kwanza Julai...
  5. ANOLD MEDIA

    JamiiForums Tanzania Jonathan Sowah amezaliwa kufunga magoli, huu ni usajili uliolipa mpaka sasa

    Mpaka sasa usajili wa nyota wa kimataifa wa Ghana na Singida Black Stars Jonathan Sowah ndio umelipa kwa asilimia kubwa zaidi,Jonathan Sowah amecheza michezo sita [7] amefunga magoli [7] hii inaonyesha dhahiri kwamba Sowah ni mchezaji wa kiwango kikubwa sana.-JONATHAN SOWAH (owns)1. Attacking...
  6. ANOLD MEDIA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

    anacheka.....
  7. ANOLD MEDIA

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Augustine Massawe, Daktari bingwa wa Magonjwa ya Watoto afariki dunia

    Mungu akulaze mahala pema daa tulikuwa nae muhimbili kwenye scientific conferrence
Back
Top Bottom