Recent content by Annie Josh

  1. Annie Josh

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Dr. Jim yuko sexy...[emoji4] I do like men wako na muonekano wake
  2. Annie Josh

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Zukisa kafungasha mzigo wa haja halooo... Lincoln aonje Neema hizo[emoji85]
  3. Annie Josh

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Shkumbuzo alimwambia Lincoln kuwa hawezi kukaa na Siri ndo akaambiwa awe na moyo wa Simba [emoji3]
  4. Annie Josh

    Msaada: Ni wapi nitapata VITEX (Chasterberry) hapa TZ

    Hormonal imbalance imekuwa wimbo sana siku Hizi jamani! I wonder what's the cause!
  5. Annie Josh

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Tabia ya Lincoln inawashangaza wengi na kuwaacha na Maswali ya siyo na majibu! Anajichanganya sana kwenye statements zake...
  6. Annie Josh

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Barker ana mission Yake Hapo. Kat anataka kukodi chopa ya Barker apotee machoni pa Lincoln
  7. Annie Josh

    Andika maana ya hizi picha kama ulitumia hivi vitabu.

    Wakati huo Watu walikuwa wasomaji wa vitabu, walimu wazuri...life was so pleasant!
  8. Annie Josh

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    [QU OTE="atug, post: 17662450, member: 77514"]I don't remember kat kucheat kwenye ndoa yake... Uwii kama ya Calvin,Lincoln ataua mtu Katlego ameionesha kuridhia paternity test ifanyike but after it ataondoka na Mwanaye na she'll raise her child alone....doubt[emoji779]️[emoji779]️[emoji779]️...
  9. Annie Josh

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    As per the sentence ni Calvin na Katlego
  10. Annie Josh

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Pia inaweza ikawa ya Calvin Xavier but anajipa Confo ili Lincoln aone Kama kakosea sana kumu-accuse juu ya "miracle baby"! Still hata wakienda for paternity test Katlego isn't dumb asubiri kuaibika anyhow!
  11. Annie Josh

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    I love seen him In The Deep
  12. Annie Josh

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Calvin ana body zuri hatari...he's sexy for real[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
  13. Annie Josh

    Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya sayansi

    [ QUOTE="Upepo wa Pesa, post: 17225478, member: 315502"]Kwani form6 si alisoma chem, phy na maths sasa hapo shida nini??? Chuon wanasoma masomo ya form 6 tu....wala usiwe na wasiwasi nae as long as amesoma pcm advance anaeza fundisha hayo masomo Ingekuwa hivyo kila Mtu Angekuwa mwalimu
Back
Top Bottom